Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
- Thread starter
- #21
Haya bhana kama starehe yako ngono chungu usije kupasuliw mayaiSasa wee unadhani starehe kuu ya mwanadamu ni nini kama sio ngono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bhana kama starehe yako ngono chungu usije kupasuliw mayaiSasa wee unadhani starehe kuu ya mwanadamu ni nini kama sio ngono
Hii vpn nimeshindwa kuiweka kwenye simu yangu mana wanataka nitumie saver ya nchi za ulaya.Ngumu kumzuia mwanadamu akitaka lake. Pindi Magufuli alipofunga internet watu waliambizana kuwa watumie VPN na wakaendelea kupata taarifa kama kawaida. Sasa hivi ukisearch google huwezi kuingia katika website za Ngono ila ukitumia VPN una access kama kawaida.
Hata huko china na Korea kaskazini wanazuia matumizi ya baadhi ya mitandao ila bado raia wao wanatumia VPN
Sio poa angeweka na kivuli tu kusambaza picha za watu mitandaoni ni kosa sana....labda kama wamekubariana.Kwani ni dada ako? Au
ameingia Anga zako mtaalamu 😂Wee nae Ruksa ya kusambaza picha za Watu bila ridhaa yao umepata wapi?
Uyo uliyeweka Picha yake Apo kwny uzi unamjua au umejipostia TU ili mradi?
Kwenye hiyo mitandao ya ngono unafuata nini Ustaadh!! Wewe tumia muda wako mwingi kwenye kuswali, na pia kumtumikia Mola wako.Biashara za ngono na usambazaji wa video pamoja na picha za ngono ni moja ya hasara za Teknolojia, serikali tunaomba uthibiti haraka maana hali sio shwali.
Moja ya mitandao ya kijamii ambayo inaongoza kusambaza video za utupu pamoja na picha ni mtandao wa WhatsApp, telegram, facebook na Instagram hiyo ni baadhi.
Kama google wameweza kuzuia kuangalia hizo video katika ukanda wa afrika ya mashariki kwanini serikali isifanye ikawa hivo kwenye hizi Application maana taifa linazama na mkombozi ni serikali maana wenye ma
View attachment 2579878
Kwa kweli sitaki kushiriki hii dhambi... HeheheNipe link mkuu na mi nikahakiki kama ni kwel
Embu nipe link nataka zile za wabongo huwezi piga vita nguruwe ulafanikiwa...embu fanya hvyoHuwezi kuzuia labda mikakati ya kupunguza.
Mfn mie dk 3 zilizopita nimetoka Telegram huko kujionea ya walimwengu.
Nafkiri mtandao unaoongoza kuwa na Porn nyingi ni Telegram. Ukimuona mtu telegram hakauki ujue ni MWAMBA huyo.
Google hawajazuia website za ngono, unaingia bila matatizo na hauhitaji VPNNgumu kumzuia mwanadamu akitaka lake. Pindi Magufuli alipofunga internet watu waliambizana kuwa watumie VPN na wakaendelea kupata taarifa kama kawaida. Sasa hivi ukisearch google huwezi kuingia katika website za Ngono ila ukitumia VPN una access kama kawaida.
Hata huko china na Korea kaskazini wanazuia matumizi ya baadhi ya mitandao ila bado raia wao wanatumia VPN
Huwezi kuzuia labda mikakati ya kupunguza.
Mfn mie dk 3 zilizopita nimetoka Telegram huko kujionea ya walimwengu.
Nafkiri mtandao unaoongoza kuwa na Porn nyingi ni Telegram. Ukimuona mtu telegram hakauki ujue ni MWAMBA huyo.
Huko twitter imekuwa tatizo sana.Twitter nahisi ndio unaoongoza kwa porn
Tupia link mkuuKwani telegram kuna site maalum ya kutazama hayo mambo?
Hahaa ukiingia huko utakua addicted ever Mana utakuta jirani yako anauza papa! Wamenzisha mtandao wa kudumu na Ni wanunuzi na watumizi wakubwa wa RAPID TESTS na Lubes. UsijaribuNipe link mkuu na mi nikahakiki kama ni kwel
Njoo pmTupia link mkuu
Wakikua wataacha....Biashara za ngono na usambazaji wa video pamoja na picha za ngono ni moja ya hasara za Teknolojia, serikali tunaomba uthibiti haraka maana hali sio shwali.
Moja ya mitandao ya kijamii ambayo inaongoza kusambaza video za utupu pamoja na picha ni mtandao wa WhatsApp, telegram, facebook na Instagram hiyo ni baadhi.
Kama google wameweza kuzuia kuangalia hizo video katika ukanda wa afrika ya mashariki kwanini serikali isifanye ikawa hivo kwenye hizi Application maana taifa linazama na mkombozi ni serikali maana wenye
ni bunge la uingereza alikuwa akitaza trekta site akajiuzuluUmeshasahau tu kwamba hata watu waliopo serikali I( mawaziri na wabunge) nao pia Ni watumiaji wazuri wa video za ngono na picha za utupu.
Kenya Kuna mbunge mmoja aliwahi kustukiwa akiangalia video ya ngono wakati mjadala unaendelea bungeni.