Biashara ya ngono yashika hatamu mtandaoni

umesahau ule uzi picha za warembo humu jf na ule wa kula tunda kimasihara unachochea sana
 
Biashara za ngono na usambazaji wa video pamoja na picha za ngono ni moja ya hasara za Teknolojia, serikali tunaomba uthibiti haraka maana hali sio shwali.

Moja ya mitandao ya kijamii ambayo inaongoza kusambaza video za utupu pamoja na picha ni mtandao wa WhatsApp, telegram, facebook na Instagram hiyo ni baadhi.

Kama google wameweza kuzuia kuangalia hizo video katika ukanda wa afrika ya mashariki kwanini serikali isifanye ikawa hivo kwenye hizi Application maana taifa linazama na mkombozi ni serikali maana wenye
Mitandao kuna mengi. We angalia yanyokuhusu tu. Wacha kihelehele kwa kuoaramia yasiyokuhusu.

Unachikitaafuta mtandaoni ndicho unacholetewa.
 
Nipe link mkuu na mi nikahakiki kama ni kwel
Search unataka nini,utapata kule telegram,kila kitu alichonacho mwanadam ambacho unahisi kinaweza kukupa au kinakupaga raha,search utakipata kule.
 
Nipe link mkuu na mi nikahakiki kama ni kwel
Weee jamaa fala unajiita Ndiuka, hilo ni eneo lipo Iringa huko. Niliwahi fika gari yetu ilipata breakdown. Eneo lile ni kijiji kidogo lakini kina ukimwi kama woote...
 
Biashara za ngono na usambazaji wa video pamoja na picha za ngono ni moja ya hasara za Teknolojia, serikali tunaomba uthibiti haraka maana hali sio shwali.

Moja ya mitandao ya kijamii ambayo inaongoza kusambaza video za utupu pamoja na picha ni mtandao wa WhatsApp, telegram, facebook na Instagram hiyo ni baadhi.

Kama google wameweza kuzuia kuangalia hizo video katika ukanda wa afrika ya mashariki kwanini serikali isifanye ikawa hivo kwenye hizi Application maana taifa linazama na mkombozi ni serikali maana wenye
Umeisahau badoo huko ndio kuna umalaya wa nje nje, kamata la kwako ulizia bei panga muda na venue mkapeane kaswende.
 
Biashara za ngono na usambazaji wa video pamoja na picha za ngono ni moja ya hasara za Teknolojia, serikali tunaomba uthibiti haraka maana hali sio shwali.

Moja ya mitandao ya kijamii ambayo inaongoza kusambaza video za utupu pamoja na picha ni mtandao wa WhatsApp, telegram, facebook na Instagram hiyo ni baadhi.

Kama google wameweza kuzuia kuangalia hizo video katika ukanda wa afrika ya mashariki kwanini serikali isifanye ikawa hivo kwenye hizi Application maana taifa linazama na mkombozi ni serikali maana wenye
Acha tu hiyo biashara iendelee kwa kiasi kikubwa inasaidia sana kupunguza kesi za ubakaji ni ngumu kummudu mwanamk unayekutana mtaani bila pesa ya uhakika
 
Hawa wa mtandaoni ni cheap nakuunga mkono. But cheap is expensive
 
Weee jamaa fala unajiita Ndiuka, hilo ni eneo lipo Iringa huko. Niliwahi fika gari yetu ilipata breakdown. Eneo lile ni kijiji kidogo lakini kina ukimwi kama woote...
Vip hukuhemewa kisogo pale ndiuka
 
Back
Top Bottom