Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Naomba ni pm namba zako kaka
 
Wadau na wafanya biashara za nguo kutoka Kampala... Nasikia TRA wanabana sana siku hizi kuliko hapo nyuma. Kabla ya awamu hii mpya??? Tunaomba mtujuze
 
Niliwahi kwenda Kampala kikazi nikafanya shopping kwa bei nafuuu ajabu
 
Habari wadau! Mimi ni Mjasiriamali! Nataka niwe nafata mzigo wa nguo za akina Dada Kampala, na kuja kuziiuza jijini Mwanza, je itanilipa ? Naombeni ushauri kabla sijaingia bahari jamani!


Mawazo mapya yanakaribishwa ili kuweza kunijenga! Karibuni sana!
 
Inalipa sana kama pale mtukula hakuna longolongo, kampala kuna nguo nzuri sana na bei yao iko cheap kulinganisha na Dar.
 
Ulifanikiwa kwenda?
 
Hivi jamani laki nane haitoshi kwenda Uganda kufuata mzigo ?
Chukua laki nane zidisha mara 1.5 hela utakayo pata hapo ndo hela ya uganda.. Hesabu haraka hapo una kama milioni na kitu za kiganda sasa cjajua ndani ya hela hiyo n pamoja na gharama za usafiri na malazi au n mzigo tu... Kama n mzigo nazani inatosha.. Ukifika ulale hotel za gharama nafuu maeneo ya owino au nakawa hapo ndo kwenye masoko makuu ya bidhaa kwa mji wa kampala.. Na unaweza kulala submarine au triple 8.. Au guest za bei ya kawaida zilizopo nyuma ya msikiti wa ghadafi au njia ya kushukia uwanja wa nakivubo kama unatokea kampala ss au citizen college
 
Kurunzi ndugu, iyo mikoba inakuwa ni model fashion tofaut na inayouzwa kRiakoo
Ahsante sana kwamaelezo mazuri mkuu. Umetufungua macho wengi. Na km in Nguo za special Kwa kariakoo ni upande gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka nianzishe biashara ambayo ntakua nafuata biadhaa ug
Naleta Tz nisaidieni wadau niabiashagani yenye faida nzuri kdogo achana nguo za mitumba asanteni
 
Broo Peter Majaliwa kama sikosei kuna uzi humu unaongea sana kuhusu Uganda jaribu kutafuta kaka utakusaidia sana. Ila watakuja hapa wajuzi wa hizo root kuleta ushuhuda
 

Kaka mimi nataka kujua jinsi ya kuchukua mzigo,I mean Kama jinsi nichukue ngapi? Top skerts n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…