Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Daahh uzi mtamu huu " Ngoja nifuatilie na huo mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani " naweza kujua baada ya kufanya ulanguzi wa hiyo mizigo kampala " huwa mnakuja kuiuza wapi. Hapa tz. .. na maanisha kwamba soko lenu la uhakika lipo wapi !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee -- haya madini haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wise boy nakuomba pm ndugu yang nahitaji msaada wako kuhusu hii ishu maana next weak nitakuwa na trip uganda so nahitaji muongozo wa kina
Mkuu nikiwa kama na lak6 ciwez kupata kamzigo ka kuanzia hata kutembeza mtaan?
 
Hii post haitozeeka mimi naingia ug mwakani vip kuna jipya limebadilika coz ni mda toka utupe haya madini
 
Mzee ushuru inakuwaje mpakani ukiwa unaingia nyumbani una mzigo wa biashara
 
Ushuru upo,mnaelewana na afisa tu inategemea unaimport nini,unaweza fanya mwenyewe au unampa konda anafanya malipo kwa niaba yako
Hello
Mim nataka kufanya biashara ya vipodozi toka uganda ,vip usumbufu wa kodi pale custums(TRA)
 
Simple tu mbona? Si unaanzia Uganda unapopanga kutoa hivyo viatu kuja bongo? ( jibu halali kwa maulizo ya swali lako & jinsi ulivyo uliza )
 
uzi makn sana huu
 
hii biashara ya nguo imefifia kwa awamu hii ya uongozi et
 
Huu uzi ni dawa kabisa mana japo ni wa miaka 5 nyuma lkn bado unasusimua. Je bei za nauli na magari yanayoenda bado ni hizi hizi au kuna mabadiliko? Na je hotels na masoko je? Money stunna ubarikiwe sana
 
Huu uzi still unaishi au mambo yamebadilika miaka 4 sio mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…