Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Respect Mkuu.Umetoa maelezo mazur sana kwa maana hiyo ukiwa na mtaji wa m5 unaweza pata mzigo mkubwa na mzuri me napenda sana biashara aisee asante sana kwa maelekezo yako..
Bonge la Nondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Respect Mkuu.Umetoa maelezo mazur sana kwa maana hiyo ukiwa na mtaji wa m5 unaweza pata mzigo mkubwa na mzuri me napenda sana biashara aisee asante sana kwa maelekezo yako..
Na hasa ikizingatiwa kuwa uzi huu ulikuwa ni wa 2014Huu uzi mxur ila napenda kujua bei bado ziko ivyo kwa sasa
Njoo Mwanza kuna watu kibao wanafanya biashara ya viatu, nguo na urembo kutoka Kampala
Pa kuanzia ni kuwa na pesa tuu
Njoo Mwanza kuna watu kibao wanafanya biashara ya viatu, nguo na urembo kutoka Kampala
Nikwambie mama angu. Kama una pesa una kila kitu. All the bestSijaongeleaa mtaji nimeongelea pakuanzia nikaorodhesh vinavyokwamisha sio pesa boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikwambie mama angu. Kama una pesa una kila kitu. All the best
Kuna uzi mmoja upo wa jamaa anaefanya izo business.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ni kweli. Lakini hakitaharibika kitu. Be careful sweetheartNchi ya watu ile ndugu yangu , lugha tofauti, naskia wachache huongea english
Sent using Jamii Forums mobile app
Me kuna rafiki zangu wanafanya biashara hiyo, utapata maujanja kwao, harafu kwan unafukiria kutumia usafiri gan
LETA na makeups original bibie[emoji4] tujisilibe kwa raha zetu[emoji4]
Nashkuru sana kwa wazo zuri, inaonyesh tayari mwenyeji , je naweza fikia hotel gani ambayo iko nafuu na karibu n stend..Panda basi hadi Kampala unaingia saa 1 jioni kama umeanzia safari Mwanza na kama umelala Bukoba utaingia saa 7 mchana. Kwenye hoteli utakayofikia ongea na meneja akupatie tax dreva anayemfahamu yeye akupeleke kwenda kukutembeza na si vibaya ukatenga elfu 10 ya Tz akakupatia hata binti wa kukutembeza kwa miguu. Nakuhakikishia hautajutia kwenda Kampala, na nakuhakikishia wazo uliloendanalo ukikanyaga tu jijini Kampala utabadiri msimamo na kujikuta kila kitu unataka ununue maana kinalipa tu. Mie siku ya kwanza baada ya kukanyaga jijini nilishindwa kununua chochote ikabidi nirudi kwanza chumbani kulala nikitafakari ninunue nini na niache nini.View attachment 1026446
Sent using Jamii Forums mobile app