Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Umetoa maelezo mazur sana kwa maana hiyo ukiwa na mtaji wa m5 unaweza pata mzigo mkubwa na mzuri me napenda sana biashara aisee asante sana kwa maelekezo yako..
Respect Mkuu.
Bonge la Nondo
 
Habari,

Msaada. Natamani sana kwenda uganda kwa ajili ya biashara ya viatu, kununua kule nilete huku. Lakini sijui pa kuanzia, nafikia wapi, hoteli, masoko na bei za bidhaa, jinsi ya kusafirisha mzigo taxes zikoje. Sina mwenyeji kabisa.

Napata uoga kidogo ila ni suala ninalotamani kulifanya, msaada maboss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Panda basi hadi Kampala unaingia saa 1 jioni kama umeanzia safari Mwanza na kama umelala Bukoba utaingia saa 7 mchana. Kwenye hoteli utakayofikia ongea na meneja akupatie tax dreva anayemfahamu yeye akupeleke kwenda kukutembeza na si vibaya ukatenga elfu 10 ya Tz akakupatia hata binti wa kukutembeza kwa miguu. Nakuhakikishia hautajutia kwenda Kampala, na nakuhakikishia wazo uliloendanalo ukikanyaga tu jijini Kampala utabadiri msimamo na kujikuta kila kitu unataka ununue maana kinalipa tu. Mie siku ya kwanza baada ya kukanyaga jijini nilishindwa kununua chochote ikabidi nirudi kwanza chumbani kulala nikitafakari ninunue nini na niache nini.
FB_IMG_1550582434521.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Panda basi hadi Kampala unaingia saa 1 jioni kama umeanzia safari Mwanza na kama umelala Bukoba utaingia saa 7 mchana. Kwenye hoteli utakayofikia ongea na meneja akupatie tax dreva anayemfahamu yeye akupeleke kwenda kukutembeza na si vibaya ukatenga elfu 10 ya Tz akakupatia hata binti wa kukutembeza kwa miguu. Nakuhakikishia hautajutia kwenda Kampala, na nakuhakikishia wazo uliloendanalo ukikanyaga tu jijini Kampala utabadiri msimamo na kujikuta kila kitu unataka ununue maana kinalipa tu. Mie siku ya kwanza baada ya kukanyaga jijini nilishindwa kununua chochote ikabidi nirudi kwanza chumbani kulala nikitafakari ninunue nini na niache nini.View attachment 1026446

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashkuru sana kwa wazo zuri, inaonyesh tayari mwenyeji , je naweza fikia hotel gani ambayo iko nafuu na karibu n stend..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiogope kuhusu lugha Kampala wafanyabiashara wa Uganda waliopo pale wengi wao kiswahili kinapanda.

Vitu ni bei nafuu ukienda na pesa utanunua vitu na bado utatamani ununue zaidi.

Mwaka juzi niliuliza kiatu aina ya Sebago hapo Kampala maduka karibu na Stendi ya daladala nikaambiwa ni elfu 40 ya Uganda (mitwalo minne), ambayo ukibadili kwa Tsh ilikuwa ni elfu 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini pia Kiswahili wanaongea japo si sana, kwa hiyo mnaweza kuelewana bei. Moja ya changamoto ya Kampala ni kua kama wakijua wewe ni mgeni bas bei hua inachangmka kidgo. Yes, Kampala kuna vitu vingi vizuri kias unaweza ukanunua na kuvuka budget yako! Angalizo tu Hela ya nauli pamoja na hela ya kulipa boda(Mutukula) incase akina zakayo wakikuotea itenge pembeni kabisa ama ukishuka tu kata tiketi ya gari la kuludi.
Bata la kule nisiliongelee kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom