Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Tunaomba Uzoefu wako kuhusu Ushuru pale border
 
Tunaomba uzoefu wako kuhusu ushuru pale boarder
 
Kaka Naomba niongee na wewe private namba yangu ni 0765018129
 
Hahaha hata m nilikuwa hvyo sijui pakuanzia ila hapa hapa waliniambia kuanza ni pale unapoamua kupanda gar na kuanza safari ...mengi yot utakutana nayo huko,as long as una passport na kingine cha muhimu ulije enda kuliwa pesa border uwe na yellow card chanjo ya manjano ...
hongera sana tena sana Mungu akupe nguvu uendelee kupambana.
samahani ila ni nilihitaji kwenda kibiashara ila sina pakuanzia samahani sana naomba msaada wako hiyo november
 
Uganda hakuogopeshek kma MTU unavyowaza ....English kiswaz wanaongea broken broken hivyo hivyo unawaelewa boda boda wanaelewa pia , kuna gest nying za kulala kwa 30000ug na kuendelea ambyo n ndogo sana kwa tz . rate saiv inasoma 1.57-58
Vyakula hapo hapo stend kuna sehemu ya kula ila watz wengi wanakul kwa mama mmoja anaitwa mama Salma maarufu hpo stend ya Namayiba
 
hongera sana tena sana Mungu akupe nguvu uendelee kupambana.
samahani ila ni nilihitaji kwenda kibiashara ila sina pakuanzia samahani sana naomba msaada wako hiyo november
Nampango wa kwenda November week ya pili ...kma umejianga tunaweza kwenda wote ..
 

Siku ukija unistue mimi nipo Kampala
 
Soko umelionaje mfano mi niko mkoani ni Bora kwenda dar or Ug
 
Hivi jamani namna ya Ku mpm mtu unafanyaje?kuna watu nawatamani niwatafute kwa hiyo Pm.
 
Nafurai kwakuni appriciate mchango wangu kwa safari yako. Una roho nzuri. Ulikuja hadi Dm kunishukuru. Nakushukuru sana nawe pia kwa Moyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…