Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Naomba kujua vipi kuhusu pesa ni njia ipi inatumika bank au cash on hand
Kama una master card ya bank yoyote huku basi ATM yoyote inasom basi njia Nzuri weka pesa zako bank .. Makato ya kutoa Kule n kidogo sana kulinganisha mpesa au airtelmoney au tigo
Stanbic bank iko vizur nakushaur kuliko ATM za mtaan wakora wengi
 
Je kama sina passport ila nina kadi ya chanjo ya manjano haiwezekani kwenda?
 
1.Vifaa vya umeme
2.Nguo za watoto
3.Sandals za kiume za mtumba
Hizi bidhaa zinapatikana kwa bei nzuri ukilinganisha na huku Tz?
 
Kama una master card ya bank yoyote huku basi ATM yoyote inasom basi njia Nzuri weka pesa zako bank .. Makato ya kutoa Kule n kidogo sana kulinganisha mpesa au airtelmoney au tigo
Stanbic bank iko vizur nakushaur kuliko ATM za mtaan wakora wengi
Asante sana
 
Mheshimiwa border haizoeleki na usitegemee leo n hii kesh itakuwa hiyo hiyo . no way we Nenda utajua huko huko kuhusu border

Jibu vizuri kama mtu mwenye uelewa wa jambo mkuu unajibu kama vile haufahamu kitu bana wakati hata wewe ulikua kwenye hii hali watu wanatamani kufaham kwa uzoefu wako wa trip kazaa kwa mzigo wa milion 2 nitalipa kod mpakani avarage kiasi gani utapaswa kujibu kisomi na kiuzoefu wako we unajibu kama madada wa mtaani bna yan kana kwamba unaona watu wakienda wew hautapata pesa sema

Elezea watu wasaidike nawe kama wew ulivyosaidika na waliokueleza mkuu

Tafadhali rudia kujibu ilo swali please
 
Me nakutakia kila lenye heri dada, maana kuna rafiki yangu alienda Uganda kufuata biashara, mdogo mdogo sasa hivi ana duka kuubwa la viatu na bidhaa mbalimbali.
Alianza na mtaji kiasi gani mkuu
 
Mheshimiwa border haizoeleki na usitegemee leo n hii kesh itakuwa hiyo hiyo . no way we Nenda utajua huko huko kuhusu border
Mkuu ungejibu swali hili kimapana ungekuwa umetusaidia wengi sana...hebu funguka kdg ndugu hapo border ndo mahali pekee watu wanapopahofia....jitahidi kutoa jibu zuri ikiwezekana na Mungu atakubariki.
 
Bei ni nzuri kwa sababu ya hela yao kuwa na thamani ndogo ama imekaaje?

Kama ni hivyo basi Kenyans wameitawala E.A kwao kila sehemu bei ni ndogo kitu cha Million 10 atakinunua kwa 50,000+ Tanzania, Uganda ndo atakipata kwa elfu 30
Hotel ya 100K kwa siku atalala kwa kwa chini ya elfu 10
Mbona hujaandika point yoyote hapo .... Kitu cha 100k kiweje 10000??
Sma Uzi mzima mheshimiwa
 
Jibu vizuri kama mtu mwenye uelewa wa jambo mkuu unajibu kama vile haufahamu kitu bana wakati hata wewe ulikua kwenye hii hali watu wanatamani kufaham kwa uzoefu wako wa trip kazaa kwa mzigo wa milion 2 nitalipa kod mpakani avarage kiasi gani utapaswa kujibu kisomi na kiuzoefu wako we unajibu kama madada wa mtaani bna yan kana kwamba unaona watu wakienda wew hautapata pesa sema

Elezea watu wasaidike nawe kama wew ulivyosaidika na waliokueleza mkuu

Tafadhali rudia kujibu ilo swali please
Boss nimekujibu kwa uzoefu wangu na hta m nilivyouliza mwanz sikuulizs kuhus border coz najua border n ww na serikali pale kila MTU ana njia yake kuweza kuvuka ...sasa unatak nikujib VIP wakat nimekuambia mm sio mzoefu ns border hsizoelek kila ukienda cha jana sio Leo tliza kichwa ueleww nilichosma
 
Back
Top Bottom