Kuna mdau kakuuliza swali la msingi sana mtu aliyeko mkoani unamshauri afate bidhaa Dar Es Salaam au Kampala ukamjibu Kampala.
Sasa swali langu likaja je mnaenda kufata vitu Kampala kwa sababu thamani yao ya pesa iko chini kulinganisha na TSH au mnaenda kwa ajili gani?
Tukirejea kwenye goods zinazozalishwa na kuingizwa Uganda haziwezi kufikia za Tanzania hata kidogo kumbuka ile ni landlocked country.
20,000Tsh = 32,260.29 UGX
1,000,000Tsh = 1613,014.53UGX
5,000,000Tsh = 8,065,072.64UGX
1000Ksh = 22,313.18Tsh
10,000Ksh = 223, 131.76Tsh
1,000,000Ksh = 2231,317.59Tsh
Huu ni mfano hai tu wakuonyesha namna fedha za Tanzania na Uganda zilivyo chini sana kithamani zidi ya pesa ya Kenya, na kwa maelezo yako umeeleza wewe ni mkaazi wa Arusha sasa umeshindwa vipi kwenda Nairobi hapo kwenye vitu vizuri na vingi zaidi kulinganisha na vya Kampala ambavyo vingi vimepitia Dar na Mombasa je ni kwa sababu ya thamani ya pesa ama nini kingine?
Note: nilisema kama jibu lako ni ndio kuhusu thamani ya pesa basi Kenyans wanatawala E.A