Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Nimekielewa ulichokiandiaka mkuu.
 
Hongera sana
 
Mmhh
 
maelezo safi sana haya
 
@Moneystunna alipoteaga mda mrefu,sijui ilikuaje,ile ndege ya malaysia ilipopotea tu na yeye hakuonekanaga humu tena
 
Samahani dada masai can I get your phone number plz,, I need more clarification about this business
Sikufanikiwa kuenda ila rafiki yangu anaenda huko kufata mashuka..next year naenda..so hata nikichukua namba yako sitakupa mchanganuo dhahiri ila mwakani mapema kabisa naenda ug
 
Sikufanikiwa kuenda ila rafiki yangu anaenda huko kufata mashuka..next year naenda..so hata nikichukua namba yako sitakupa mchanganuo dhahiri ila mwakani mapema kabisa naenda ug
Muombe rafikiyo atupe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…