Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

MoneyStuna vip,,bado upo na mishe zaUG ? Naomba msaada wako plz nahitaji kufanya biznees but cjui kwasasa Hali ipoje
 
Ninafikiria kufungua duka la nguo za kike naomba kama yupo mtu anaeijua hii biashara aniambie changamoto zake.

Vilevile ningefurah kama ningepata mtu aliyewahi kwenda Uganda nasikia zinapatikana kwaurahisi. Niko dar
 
Huko Uganda kuna machimbo kama kariakoo ukienda kichwa kichwa utakuja na nguo zilizojaa kariakoo kwa bei ya juu haswa
 
Tafuta wale watu wenye uzoefu wa kwenda huko, kuwa makini pia maana wengi hawapendi watu wajue hayo machimbo
 
Au uza za mtumba, nunua mbeya coz zinapatikana kirahisi na ni unique, hazipitwi na fashion
 
Ningefurah kama ningepata mtu aliye wah kwenda niongee nae kabla ya kwenda
 
Okays, mi nimewahi kwenda ila siyajui machimbo kihivyo
 
Mbeya mjini au? Umewah kuifanya hii biashara? kwakua ndo naanza inaweza kuchukua siku ngapi kupata mzigo wa kutosha?
 
Ndio, mi naifanya tangu 2011, itakuchukua week kukusanya mzigo kulingana na capita yako, kwani uko mkoa gani?
 
Back
Top Bottom