Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Hizo bei ni fixed?
 
Bei ya belo la jeans za kiume sh ngap na hukaa ngap
 
Habari,nimeona una deal na mitumba
naomba contacts zako
am retailer
 
Mkuu umenifungua
 
Nimefaidika na michango yenu sasa niko tayari kuingia kwenye hii biashara japo mtaji hauzidi 1M, mobile yangu ni 0688186936 kwa msaada wenu zaidi niko Mkoa ila nitakuwa weekend hii.
 
Wakuu mimi nauza mitumba kwa rejareja bei poa kabisa nguo aina zote niko dsm, temeke,mbagala,kizuiani ila mwenye kuhitaji nguo kuanzia kumi tunampelekea mzigo anachagua baada ya kuthibitisha uhitaji wake
Namba zako mkuu
 
Ninataka kuanzisha biashara ya rejareja kununua mitumba ya nguo specifically T-Shirts, jeans na mashuka pia.
Ninataka kujua yafuatayo

1. Ni wapi nitapata hizo bales kwa hapa Dar na muda gani bales zinapatikana.
2. Bei za bale zipoje na je zinatofautiana kwa bei?
3. Uzoefu wa biashara hii.Je inalipaje kwa mfano ukinunua bale moja.

Nawasisha tafadhali.
 
mnazi mmoja kuna sehemu wanauza, ila Tshet nyingi zinakuja zimechakaa,
nakushauri uangalie blauz za wadada, na hivyo vingine.
ukianza kuuza niite nikusaidie kupiga mnada
 

Unataka kupeleka ulaya?
 
mnazi mmoja kuna sehemu wanauza, ila Tshet nyingi zinakuja zimechakaa,
nakushauri uangalie blauz za wadada, na hivyo vingine.
ukianza kuuza niite nikusaidie kupiga mnada
Vipi.kunaweza kuwa na za mabale yaliyofunguliwa nikachagua moja moja zikawa hata mia then kukawa na makibaliano ya jumla ya hizo mia nitakazochagua..
 
Habarini wanajamvi,

Nahitaji kuanza biashara ya kuuza nguo za mtumba nzuri, updated,grade1 za kike kwa wanafunzi wa vyuo mkoani morogoro soon after kufungua vyuo.

Naomba kujua sehemu gani Dar -es-salaam ambayo nitapata mtumba classic wa kike with affordable price ambayo nitapata chochote hata mimi nikienda kuuza.

Ahsante

Maoni na ushauri ni muhimu.
 
hiyo mitumba imekatazwa kuingia TZ na kwa sasa tunajiandaa kutoa TZ na kuipeleka ulaya sasa we ukikataa agizo utaitwa mchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…