Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Mkuu naomba ufafanue bei ya bello huko Uganda mfano, Lady Jens, 100 na 200 pieces , Lady cadets na men jeans na korea shirts and tishert n. K kwa wanajamvi.
 
Mkuu naomba ufafanue bei ya bello huko Uganda mfano, Lady Jens, 100 na 200 pieces , Lady cadets na men jeans na korea shirts and tishert n. K kwa wanajamvi.
Kwa Sasa sijui mkuu nitauliza
 
Kampala hakufai, wauza nyapu ni wengi sana hasa Kabagala Gala, Kansanga na mitaa ya Bwaise, mbaya zaidi totoz zimeumbika hasa upande wa nyuma, yani no ching chong. I miss Hii place for sure, mamanzi hawana mbwembwe nyingi sana.
 
Pia kuna yale majina yao.

kam sebho kwa mwansume na nyabho kwa mwanamke.
 
Kwa walio na uzoefu wa biashara hii ni namna gani ya uendeshaji wake,faida changamoto zake huku mm ni mwanafunzi wa chuo,gharama za fremu,na eneo zuri la kusettle hii biashara hapa Dar ,namna ya kuupata mzigo mzuri .kwa kuanzia na mtaji wa 2.1Mil. Msaada wenu tafadhari wana JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…