Ni Mnazi Mmoja au kko, mtaa gani? Asante.Mnazi Mmoja kko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Mnazi Mmoja au kko, mtaa gani? Asante.Mnazi Mmoja kko
Mkuu ingia kwenye link chini hiyo, ilibidi nifungue uzi mpya baada ya kukosa majibu hapanami pia nisaidieni katika hilo alilouliza blakafro
msaada wanajamvi
Ngoja nipitie huo uzi.Mkuu ingia kwenye link chini hiyo, ilibidi nifungue uzi mpya baada ya kukosa majibu hapa
Nitapataje mabelo ya viatu vya mtumba kwa bei nafuu?
Kwa dar nenda mnazi mmoja kwenye maduka ya wahindi,utaona maduka mengi sana ya mitumba.
(1) Belo grade A Kg 45-55 kwa nguo za kiume ni laki5-4,kila belo lina nguo 200-250..Grade B laki3-2.8
(2) Bguo za watoto. -Nguo nyepesi kuanzia umri 0-6yrs mpaka 2-12yrs grade A laki5-4.5
-Nguo za kawaida umri 0-6yrs na 2-12yrs grade A laki4-3.
Grad B nguo za watoto ni laki2.5
(3) Nguo za kike grade A laki3,grade B laki2-1.8
NB: Ila bhana sasa hivi nguo wanachakachua sana kama sio mzoefu unaweza kununua grade A ukaja kukutana na mafampa.
Ukitaka belo lenye nguo nzuri mpe cha juu mfanyakazi utakayekutana nae apo,lakini ukijifanya bandidu inakula kwako
Shukrani kwa ushauri.. Ila Kenya sina Mtu aisee..Kama una mshikaj ambaye yupo Kenya mwambie akutumie kule zina ubora tofauti na bongo
Ahsante nduguNjoo mnazi mmoja hapa opposite stendi ya gongo la mboto utapata maduka ni mengi yani huko ni direct kutoka Bandarin