Biashara ya Night Club Dar imekufa?

Duh misosi bei gani? Ili nikija na mtu nijue maumivu yake kabla.

Andaaa million brother sio kitoto Watu wanaacha 11M kabisa hapo[emoji23][emoji23][emoji23]unajua Masaki tena.

Nishapeleka Bebe pale Sea cliff Moyo kitchen Uzuri najuana na manager wa The Fishmonger nikatumiwa menu chap, nikaandaaa 400k just for dinner mkuu.
 
Time really flies aisee. Miaka Ile Bills, Mambo Club hatari na nusu. Sio kwamba hizi open bar hazikuwepo. Weekend imefika jioni unajongea Jolly pale au Qbar unaanza mdogo mdogo moja moja hadi saa 6 unazama bills hadi alfajiri. Dah maisha yake hawawezi kujirudia. Watu wastaarabu wanajua muziki mzuri. Enzi hizo ukitaka oldies unazama Blue Palms unakula oldies balaa hadi kiu inakata unasuuzika moyo kabisa.
Sio sasa hivi ujinga mtupu, open bar lounge ni amapiano tu. Yan unaweza kukaa masaa 5 hujasikia oldies hata moja ni maujinga ya amapiano tu watu wako kama kuku anakata roho ndo styles za kucheza eti.
 
Kiukweli djz wa sikuiz wanaboa sana,
sisi tunaorukia viwanja kwa sababu ya muziki mzuri currently tunapata wakati mgumu sana.
 
kila kitu kinaenda na muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…