Biashara ya Night Club Dar imekufa?

6. Lights
Taa za maana ni sifa kuu mmojawapo ya night clubs, kila demu anaonekana nzuri.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Summary ya Menu ya vinywaji hii hapa: Aione na RRONDO View attachment 2934372
Dah! Huko hakunifai kabisa. Mimi nishazoea sehemu wanakouza bia 5000 basi ujue nafika nimeshalewa tayari yaani naenda kumalizia tu siku au kuopoa mizigo.

Hiyo ya bia 9000 siwezi, sasa upate hawa malaya wanakunywa castle lite kama wanamwaga mahala, unatoka umekauka.
 
Oya we ndio mimi. Sitajirishi mtu. Naenda grocery ya mtaani wanakouza bei elekezi, najijaza bia kichwani ndio natoka. Au kama ghetto nakua nishaweka kwenye friji.
 
Yani ndo hapo. Thed weld dwellers, the 99% na hand to mouth as if they're living in a jungle lawless. Huu upuz huwez kamwe kukuta ninapoishi na kumiliki makazi palm jumeirah Dubei, malibu, Las Palma, Ibiza, Monaco, Zurich, bahamas, Aspen, montecito, Beverley hills.

mshamba_hachekwi
 
Ah
Mkuu hapo velvet umewahi kwenda ?
Naona wanasifu sana humu
Nilienda mara 3 kipindi cha AFCON weekend na weekdays.

Oya zamani palikua moto wa kuotea mbali. Tatizo limekuja baada ya kupafanyia ukarabati pamekua pa kisasa. Hafu watu hawaendi.

Sema mlinzi aliniambia j5 nadhani ni Baikoko day. Alisema uwa panawaka.

Kwa ufupi, Dar sahivi ni Kitambaa na Dance Club kama unapenda vurugu na hauna aibu.
 
Dance club?
Ipo wapi hii?
 
Yaani hilo limjengo likuubwa mavyumba ya kutosha very classic mziki mzuri ila ukiingia unajikuta uko peke yako πŸ˜€ same to vibez lounge nayo hivyo hivyo
Kama unapenda utulivu ni sehemu nzuri sana ya kwenda. Usiende siku za events tu, kuna bar nyingi sana ziko overrated but velvet wamejitahidi sana kuitengeneza. Wanafail kwwnye marketing tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…