Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

lugom

Member
Joined
Oct 26, 2024
Posts
25
Reaction score
52
Mimi ni Dr tabibu, nimeajiriwa serekalini mkoa wa Mwanza. Nahitaji ushauri, mkononi sasa ninamtaji wa 30m, nilikuwa nataka nianze biashara ya pharmacy, lengo langu ilikuwa mwaka huu niende chuo nikachukue diploma, kama ikiwezekana nipate mwanamke ambaye anachukua diploma ya pharmacy nimuoe then nije nifungue pharmacy aje akae yeye na kingine kama hamtojali kwa wale wa zoefu wa biashara hii kwa huo mtaji wa 30m senta ambayo sio mbaya makadirio ya haraka haraka kwa siku na kwa mwaka mzima naweza ingiza kiasi cha faida kama shingapi.
 
Achana na faida kikubwa anza.

hapo downtown unaweza anzisha au kama utapata muda tembelea Misungwi ambako kwa mtaji huo utakua na Pharmacy kubwa zaidi na unaweza kua na nafasi kubwa na KUPATA jina kwa haraka pengine uwe na uwezo kusambaza dawa kwanye DLDM zinazozunguka maeneo hayo kwa jumla.

Mifano ipo mingi mnoo wapo tuliwaona wameanza pengine sio kwa mtaji kama huo ila wapo vzr by now.
 
Kuna mwanamke hapa kasomea pharmacy na atakufaa mimi nitapata kiasi gani kwenye hili dili la 30m ?
 
Hongera sana jitahidi kutangaza watakuja...wengi utachagua mmoja.....au piga simu vyop Fip.pharmacy omba contact waliomaliza za wanawake wafanyie interview....
 
Usithubutu!
 
Hifadhi kwanza pesa zako kabla haujazipukutisha, jipe muda mrefu wa kufanya research ya hiyo biashara....

Jipange sana kuhusu usimamizi, bro jipange sana kuhusu usimamizi, kama unajua hauna muda na hauwezi kusimamia biashara yako bora kuzikunywa tu hizo milions tofauti na hapo utawafungulia watu biashara.

Usijidanganye utafute mke kwa lengo la kukusimamia biashara, usijidanganye......
 
eti anatafuta mke mwenye diploma asimamie biashara huyu anatafuta majanga, atakuja kuambiwa wewe sio wa taipu yangu, kwa sababu sikuwa na ajira tu, akaleta msiba MMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…