Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

Njo PM tuongee hizo ndo kazi zetu kufanyia watu consultation kwenye eneo la pharmaceutical, kwa wanaohitaji kufungua pharmacy,kusajili dawa, vifaa tiba, vipodozi, supplements tukusaidie.
 
Kwanini unajiita Dakt

Kwanini unajiita Daktari
Because"WHO" allowed me to clerk and prescribe to patients. Shida yenu vijana wa bongo mnamakasiriko mno haswa mnapoona mtu ambaye maybe manalingana umri then anaongelea mambo makubwa ambayo ww hujawai kuwaza kwa umri wako au ulishafeli nakujikatia tamaa kwasababu ya kujichanganya na kukimbilia majukumu mapema ukazan kila kijana anafanya huo upuuzi nakujiaminiasha kila kijana mwenyew umri kama wako anamaisha kama ya kwako . Ndugu yangu nikwambie tu kitu kuna vijana wako very serious na Wana focus kubwa sana kwenye haya maisha na kwenye hii dunia.Huo udaktar unao uona labda mm najipendekeza sana kwenye hiyo taaluma.ila kitu ambacho hujui kijana kama mm mwenye ndo kubwa.hata kama ningeajiriwa kama specialist akili yangu haipo upande huo wa kuajiriwa najua tu one day Nita retire before 60 nakufanya biashara coz .najua mipambano yangu.
 
Ungekuwa umesoma medical ungenielewa.Mfamasia mwenyew degree ndio mtu mwenyew lesen ya kufungulia pharmacy.hata daktari akitaka kufungua pharmacy anamtafuta mfamasia mwema degree anaingia nae mkataba anamfungulia hiyo pharmacy unakuwa unamlipa 1m kwa mwezi kitu kama hicho ila inatakiwa utafute muuzaji sasa wakukaa dukan ndo kama huyo wa diploma sasa ambaye nae utamlipa maranyingi unaweza mlipa kuanzia 400k - 600k, au umwongezee hela huyo wa degree kama hana kazi nyingine ajeauze hapo dukani kwako.
 
Mimi ni Dr tabibu, nimeajiriwa serekalini mkoa wa Mwanza. Nahitaji ushauri, mkononi sasa ninamtaji wa 30m, nilikuwa nataka nianze biashara ya pharmacy, lengo langu ilikuwa mwaka huu niende chuo nikachukue diploma, kama ikiwezekana nipate mwanamke ambaye anachukua diploma ya pharmacy nimuoe then nije nifungue pharmacy aje akae yeye na kingine kama hamtojali kwa wale wa zoefu wa biashara hii kwa huo mtaji wa 30m senta ambayo sio mbaya makadirio ya haraka haraka kwa siku na kwa mwaka mzima naweza ingiza kiasi cha faida kama shingapi.
Jichanganye kumpa mwanamke hiyo biashara kisa kasomea pharmacy na unataka kwenda shule, uje utupe uzi kwamba wanawake sio. Jichanganye

Ushauri:
Chagua kipaumbele kimoja hapo kati ya kusoma na biashara. Ni vyema ukasimama na kimoja kwanza kuliko kumtegemea mtu.
 
Exactly wenge linamsumbua
Shida yenu vijana mkisikia mtu ameweka mahali na swala la kuoa mnazani anaolea mihemko kama mihemko ambayo iliwafanya nyie mkimbilie kwenye ndoa ambazo sasaivi zinataka kuwatoa roho.sisi wengine swala la ndoa limeongelewa hapo ila nikitu ambacho ni swala extra sana katika maisha yetu kikubwa sisi tunaangalia ndoto zetu katika mafanikio kwanza hivyo vingine ndovinafuata.
 
Shida yenu vijana mkisikia mtu ameweka mahali na swala la kuoa mnazani anaolea mihemko kama mihemko ambayo iliwafanya nyie mkimbilie kwenye ndoa ambazo sasaivi zinataka kuwatoa roho.sisi wengine swala la ndoa limeongelewa hapo ila nikitu ambacho ni swala extra sana katika maisha yetu kikubwa sisi tunaangalia ndoto zetu katika mafanikio kwanza hivyo vingine ndovinafuata.
Mbona unajitetea kubali kukosolewa Dokta ebu niambiye mwanamke anawezaje kukupa mafanikio?? (especially ya kifedha)
 
Hifadhi kwanza pesa zako kabla haujazipukutisha, jipe muda mrefu wa kufanya research ya hiyo biashara....

Jipange sana kuhusu usimamizi, bro jipange sana kuhusu usimamizi, kama unajua hauna muda na hauwezi kusimamia biashara yako bora kuzikunywa tu hizo milions tofauti na hapo utawafungulia watu biashara.

Usijidanganye utafute mke kwa lengo la kukusimamia biashara, usijidanganye......
😄😄 Thanks dear.
 
Back
Top Bottom