Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

Biashara ya pharmacy kwa mtaji wa Tsh. 30m

Yaani unatafuta mke mwenye diploma ya phamasia huyohuyo awe mke wa ndoa,kila lakheri mkuu lakini siku hizi hatu tumii tena magunia ya mkaa usajili wa kumiliki silaha umerahisisha kazi.
 
Mimi ni Dr tabibu, nimeajiriwa serekalini mkoa wa Mwanza. Nahitaji ushauri, mkononi sasa ninamtaji wa 30m, nilikuwa nataka nianze biashara ya pharmacy, lengo langu ilikuwa mwaka huu niende chuo nikachukue diploma, kama ikiwezekana nipate mwanamke ambaye anachukua diploma ya pharmacy nimuoe then nije nifungue pharmacy aje akae yeye na kingine kama hamtojali kwa wale wa zoefu wa biashara hii kwa huo mtaji wa 30m senta ambayo sio mbaya makadirio ya haraka haraka kwa siku na kwa mwaka mzima naweza ingiza kiasi cha faida kama shingapi.
Dr Tabibu unataka kusomea diploma ya nini? Kuna watu umewaacha njia panda.
 
Jamani Dr anataka diploma ya Pharmaceutical medicines kwani ajabu iko wapi hapo au haiwezekani?
 
Bro hebu chukua hiyo 30m nenda sehemu nje kidogo ya mji nunua eneo kubwa ikiwezekana likate pima viwanja alafu kaa utulie ikiwezekana sahau kabisaa jifanye hiyo 30m umeitupa, baada ya miaka mitano viingize sokoni hvo viwanja, afu mind you hiyo 30m ukifungua hiyo pharmacy uwezekano wa hiyo biashara kudumu miaka 5 ni asilimia ndogo sana... ...Chonde chonde usianzishe Mradi ambao wewe mwenyewe hautokuwepo kuusimamia utaishia kuwafungulia watu biashara waiharibu mwisho wa siku chuki na uhasama na majuto juu.
 
Mimi ni Dr tabibu, nimeajiriwa serekalini mkoa wa Mwanza. Nahitaji ushauri, mkononi sasa ninamtaji wa 30m, nilikuwa nataka nianze biashara ya pharmacy, lengo langu ilikuwa mwaka huu niende chuo nikachukue diploma, kama ikiwezekana nipate mwanamke ambaye anachukua diploma ya pharmacy nimuoe then nije nifungue pharmacy aje akae yeye na kingine kama hamtojali kwa wale wa zoefu wa biashara hii kwa huo mtaji wa 30m senta ambayo sio mbaya makadirio ya haraka haraka kwa siku na kwa mwaka mzima naweza ingiza kiasi cha faida kama shingapi.
Brother nilikuwa na mawazo kama yako ya kumuweka mke wangu kwny biashara Ila acha nikutusi kwanza "tumbafu wewe" toa ilo pepo kichwani
2.asilimia 80 ya biashara zinahitaji uwepo wewe atleast Six month
3.hapo tafuta vijana wadogo wadogo wawili fresh from. Chuo na mzoefu mmoja uwaajiri nawewe uwepo pia sio lazima wewe uwe na hiyo taaluma kurun business "management na ethics za biashara ndo taaluma muhimu"

Kwahyo MO dewji naye akajifunze kuendesha meli, au kuchanganya chemicals ndo afanye biashara
 
Back
Top Bottom