Biashara ya salon za kiume na kike

Biashara ya salon za kiume na kike

Kwa mm nijuavyo MKUU ni HV mashine 1 sh 35000 kiti kimoja 200000 vioo futi tano kwa tano ni 32000 capate mita moja ni 3000 TV ni 130000
 
Au nitafute p.m nikupe maelezo coz hata mm ninayo nzuri ya kisasa

Mkuu hata ushauri wa Saloon nao unataka aje Pm?.au unataka umtapeli hivyo vijisenti alivyoungaunga km wewe sio tapeli mwaga ushauri hapa hili jukwaa limetusaidia wengi sana wote wangekuwa wanataka mambo za Pm tusingefanikiwa wacha hizo eleza hapa weka wazi msaidie
 
Wakuu natumaini mko wazima.

Leo niko mbele yenu kuomba ushauri kuhusu biashara ya saluni ya kike. Mimi ni kijana wa kiume mjasiriamali na popote penye fursa huwa siogopi kujirushiamo ila najua kidogo mno kuhusu hizi saluni za kike. Ila hapa jirani kuna mdada ambaye anasifika mno kwakipaji chake cha ususi na kaajiriwa saluni iliyoko mtaa wa jirani (Magomeni mapipa). Baada ya kufikiria nikaona kupitia kipaji cha huyo dada na mtaji wa wateja alionao niingie nae ubia kufungua saluni hiyo. Nawakaribisha kunishauri lolote kuhusu biashara hii kabla sijafanya chochote.
 
Habari za mchana wandugu,

nilikuwa na wazo la kuwa na barbershop na kuwakodisha vinyozi wawe wananyoa afu mwisho wa wiki wanakuwa wananipa kiasi fulani cha pesa.

Kwa mwenye ujuzi wa hii biashara naomba anisaidie gharama za kuanzisha na return yake au malipo ambayo wanalipaga ni kiasi gani

Shukrani za dhati.
mambo mpenzi? hii project yetu iliishia wapi?
 
Habari za mchana wandugu,

nilikuwa na wazo la kuwa na barbershop na kuwakodisha vinyozi wawe wananyoa afu mwisho wa wiki wanakuwa wananipa kiasi fulani cha pesa.

Kwa mwenye ujuzi wa hii biashara naomba anisaidie gharama za kuanzisha na return yake au malipo ambayo wanalipaga ni kiasi gani

Shukrani za dhati.

Ukitaka Barbershop ya kueleweka upate pesa ni lazima uwe na mtaji wa kuanzia 20Million.hyo ni office wala hutahitaji kuweka tu watu wakupe pesa kwa wiki,utaajili na utakaa mwenyewe kukusanya mauzo,kachukue vinyozi na wadada wa kusclub hata mkoa mwingine kisha anza kwa kuwapangishia nyumba then watajitegemea baadae,hapo mzee elewa hyo ni kazi yenye pato la mtu mwenye PHD tena awe ameajiliwa office ya ukweli.bless you!
 
Mkuu mil.20 duh???,kuna kuwa na vitu gani hivi???.
 
mimi hili wazo limenika sana akilini na nipo mbioni kufungua yangu uswahilini inilipe hata hela ya kula tu.
 
Mkuu mil.20 duh???,kuna kuwa na vitu gani hivi???.

Kiti kimoja tu kinakwenda kwa 1.2million,uwe na viti vya kunyoa kama vi5,vya sclub vi2,na cha kuoshea kimoja.utahitaji viyoo na kuilemba kisasa ikiambatana na kumlipa mtu atakaedizaini hyo Barbershop,kweni we hujawah kuingia kwenye barbershop zenye viwango kama hzo ukaona?
 
Samahani naomba kujulishwa kuhusu mtaji wa kufungua salon ya kike au barbeshop ya kiume na zote ziwe na sehemu ya kufanyia massage ntahtaji mtaji wa kama sh ngapi?tafadhali wazoefu wa hii biashara mnisaidie mawazo
 
Kwenye bold hapo kuwa makini maana OFM
ni sheeda sana mjini hapa.

Upande wa mtaji, tafuta kama 3M zinatosha kuwa na
salon ya kisasa au barbershop nzuri na ya kisasa.
 
Kwenye bold hapo kuwa makini maana OFM
ni sheeda sana mjini hapa.

Upande wa mtaji, tafuta kama 3M zinatosha kuwa na
salon ya kisasa au barbershop nzuri na ya kisasa.
viti viwili 1.2M, Kitanda cha msg 0.6M, Vioo na kufix 0.1M, shaving mashines nzuri mbili 0.3M, Hair bowl mpya ya kisasa 0.7M, consumables and towels weka 0.1M. milioni tatu imeishia hapo ila ukiwa na 5M kwa saluni ya kiume unaanza vizuri sana. cc Cutie M
 
Last edited by a moderator:
Mie pia napenda kujua, achilia mbali na mtaji je hesabu kwa week ni shilingi ngapi kulingana na bei za kunyolea mfano kama ni 1,500
Au 2,000 au 3,000 msaada hapo.
 
Back
Top Bottom