CHUMA2007CHAPUA
Member
- Jul 11, 2015
- 25
- 4
Sawa Gen Kagame. Tunawasubiri watupe mwanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mm nijuavyo MKUU ni HV mashine 1 sh 35000 kiti kimoja 200000 vioo futi tano kwa tano ni 32000 capate mita moja ni 3000 TV ni 130000
Au nitafute p.m nikupe maelezo coz hata mm ninayo nzuri ya kisasa
mambo mpenzi? hii project yetu iliishia wapi?Habari za mchana wandugu,
nilikuwa na wazo la kuwa na barbershop na kuwakodisha vinyozi wawe wananyoa afu mwisho wa wiki wanakuwa wananipa kiasi fulani cha pesa.
Kwa mwenye ujuzi wa hii biashara naomba anisaidie gharama za kuanzisha na return yake au malipo ambayo wanalipaga ni kiasi gani
Shukrani za dhati.
Habari za mchana wandugu,
nilikuwa na wazo la kuwa na barbershop na kuwakodisha vinyozi wawe wananyoa afu mwisho wa wiki wanakuwa wananipa kiasi fulani cha pesa.
Kwa mwenye ujuzi wa hii biashara naomba anisaidie gharama za kuanzisha na return yake au malipo ambayo wanalipaga ni kiasi gani
Shukrani za dhati.
Ukitaka Barbershop ya kueleweka upate pesa ni lazima uwe na mtaji wa kuanzia 20Million.hyo ni office wala hutahitaji kuweka tu watu wakupe pesa kwa wiki,utaajili na utakaa mwenyewe kukusanya mauzo,kachukue vinyozi na wadada wa kusclub hata mkoa mwingine kisha anza kwa kuwapangishia nyumba then watajitegemea baadae,hapo mzee elewa hyo ni kazi yenye pato la mtu mwenye PHD tena awe ameajiliwa office ya ukweli.bless you!
Mkuu mil.20 duh???,kuna kuwa na vitu gani hivi???.
Samahani naomba kujulishwa kuhusu mtaji wa kufungua salon ya kike au barbeshop ya kiume na zote ziwe na sehemu ya kufanyia massage ntahtaji mtaji wa kama sh ngapi?tafadhali wazoefu wa hii biashara mnisaidie mawazo
viti viwili 1.2M, Kitanda cha msg 0.6M, Vioo na kufix 0.1M, shaving mashines nzuri mbili 0.3M, Hair bowl mpya ya kisasa 0.7M, consumables and towels weka 0.1M. milioni tatu imeishia hapo ila ukiwa na 5M kwa saluni ya kiume unaanza vizuri sana. cc Cutie MKwenye bold hapo kuwa makini maana OFM
ni sheeda sana mjini hapa.
Upande wa mtaji, tafuta kama 3M zinatosha kuwa na
salon ya kisasa au barbershop nzuri na ya kisasa.