Biashara ya salon za kiume na kike

Biashara ya salon za kiume na kike

Habari za jion wakuu.pole na ujenzi wa taifa letu.natumai nyote mnaendelea vizuri kbsa.labda nisipoteze muda wakuu..kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu

Ninataka kufungua saloon ya kiume maeneo ya kigambon lkin changamoto ni pale linapokuja swala la kutokuwa na uzoefu na hiyo biashara..vitu kama mtaj kama kiasi gan,vifaa vya saloon,changamoto zake,mana hakuna biashara isiyokuwa na changamoto..na mambo mengine mengi ndg zangun ambayo siyafahamu juu ya hiyo biashara.

Shukran zangu za dhati ziwafikie wote watakaonichangia kwa namna moja au nyingine.changamoto zinakubalika.Mungu azidi kuwabariki[emoji1545]
 
Mimi sifanyi biashara hii Japo ni mteja wa saloon nzuri na nazipenda kweli kweli. Kwa upande wangu yafuatayo ni muhimu
Saloon ya kiume:
1. Fanya survey na maongezi ya kutosha na vijana watakao kua vinyozi, wengi wao huwa hawajielewi na wanakua na pozi kwa Wateja(customer care ya mhudumu kwa mteja ni muhimu sana) wavalishe uniform

2. Upate nyumba yenye nafasi in which itakua na section kama tatu au nne hivi, iwe na shaving pool, customer waiting area,washing and scrabbing chamber na massage room.

3. Mkuu uwe na mabinti wazuri kama watatu hivi, kwa ajili ya scrabbling,pedicure na manicure plus body massage. Make sure wanakua na uniform kali, siku nyingine vitenge,vikaptula,skin jeans ,tyt n.k. Make sure wanavaa uniform na wafundishe kauli nzur kwa Wateja.

4. Uwe na kafriji kwa saloon yako, make sure ktk bei zako za kunyolea na Huduma nyingine una include na kaela ka soda kwa mteja ila mteja asijue kua ananunua soda. Mteja akiwa nasubiria zamu ya kunyolewa unampa kasoda au Maji na vikaranga fulani amazing,Basi atajiona mfalme na kamwe yaani.

5. Utakapofungua chukua week mbili au mwezi kusoma mazingira ya biashara,then cha kufanya kwa vijana vinyozi unawapa hesabu ya siku au week, kua ww kijana jilipe ila kwa week niletee elfu 70 mezani. Hao ni vinyozi haihusiani na Huduma nyingine.

6. Unapofungua jitahd ndani ya mwezi wa kwanza wa kuanza,Nenda kwenye hit radio station moja ya hapo dom Fanya tangazo ili wakazi wa wajue zawadi ulowaletea.

Kwa saloon ya kike.
Mkuu hii kwa upeo wangu kama mkeo siyo expert wa mambo haya utapata tabu kiasi, management ya wahudumu wa saloon za kike ni ngumu sana.

Tatizo wadada wanafanya ktk saloon hizi hawatulii,wanarukaruka kama nkiwa,Leo yupo hapa,kesho Singida,keshokutwa Utaikuta Mwanza.

Ila ukipata waliotulia utapiga hela. Labda uwachukue na uwafanyie treatment nzuri kuwajenga kisaikolojia watulie. Sasa hapo itabid upate wa sekta zote.
Kusuka, kushonea sijui ndiyo mawigi sijui mawiving, make up n.k. yaan kila sekta iwe na mtaalamu kias ya kwamba hakuna mteja wa kuchomoka.

Customer care ni muhimu pande zote ..
That's all in me sir
Hakika umedadafua vyema na huu ndo utu. Pongezi sana maana hata mimi nimeongeza mambo ya msingi katika mradi huu wa saloon.
 
Biashara haifundishi mtu kama mwalimu anavyo fundisha mwanafunzi darasani... biashara inakufunza kwa vitendo, kila mmoja ana challenge yake katika bishara kutokana na strength yake na weakness yake.. so kuzijua challenge za biashara kwako lazima uanze ndo uanze kujua wapi una challenge...jifunze challenge move on thn utakutana nyingine tena nayenyewe utajifunza na kuitatua.. ukiendelea hivyo embu nambie utakua na uwezo gani baada ya miaka kadhaa katika biashara yako? simply utakua level nyingine utakua mzoefu, utakua umekua kibiashara

Biashara tunajifunza kwa kufanya sio kwa maneno/lecture.. na ukiwa una anza jua kabisa kuna changamoto na uwe tayar kukabiliana nazo..
 
Ila ugomv n kwa saloon y kike ninay but dyuu management ya wadada inazngua na kimpta wa kutulia n kaz japo ina hela sana kupta ya kiume tena mbali
Changamoto kubwa unazozipata ni zipi mkuu?
 
Ila ugomv n kwa saloon y kike ninay but dyuu management ya wadada inazngua na kimpta wa kutulia n kaz japo ina hela sana kupta ya kiume tena mbali
Sure, mabinti hawatulii kabisa.
 
Tv na radio muhimu sana,akikisha playlist yako inakuwa latest na ya kistaharabu,maana si watu wote wanapata nafasi ya kusikiliza nyimbo ktk maeneo yao ya kila siku zaidi ya hapo saloon wanapokuja kunyoa,sauti haiwi kubwa,ni wastani yenye kusikika vizuri.
 
Naombeni msaada wenu,

Kwa anayejua please ili nijifungulie japo hako ka biashara ili nianzishe niwe na sh ngapi na vifaa gani vinavyohitajika?

Please matusi sipendi kwa mwenye moyo wa kusaidia naomba msaada wako.
 
Naombeni msaada wenu Kwa anayejua pls ili nijifungulie japo hako Ka biashara.ili nianzishe niwe na sh ngapi na vifaa gani vinavyohitajika????pls matusi sipendi Kwa mwenye moyo Wa kusaidia naomba msaada wako.

Inategemea mtaji wako ni kiasi gani,lakini kama hiyo picha hapo juu ndio wewe nna uhakika hautashindwa bajeti hii kwa saluni bora kabisa na ya kisasa.


Viti 6@900,000 = 5,400,000
mashine5@100,000. =. 500,000
viti 2(washing room). =
Air confitioner 18000BTU 5*5 = 1,400,000
Tv inch 32 sumsung. =. 500,000
Workstation mirror 4@200,000= 800,000
Towel warmer. =. 400,000
Sterilizers. 4@ 200,000. =. 800,000
Generator. =. 500,000
others. =. 500,000
Frame and refurbish. =. 5,000,000
TOTAL. =. 15,800,000
 
Inategemea mtaji wako ni kiasi gani,lakini kama hiyo picha hapo juu ndio wewe nna uhakika hautashindwa bajeti hii kwa saluni bora kabisa na ya kisasa.


Viti 6@900,000 = 5,400,000
mashine5@100,000. =. 500,000
viti 2(washing room). =
Air confitioner 18000BTU 5*5 = 1,400,000
Tv inch 32 sumsung. =. 500,000
Workstation mirror 4@200,000= 800,000
Towel warmer. =. 400,000
Sterilizers. 4@ 200,000. =. 800,000
Generator. =. 500,000
others. =. 500,000
Frame and refurbish. =. 5,000,000
TOTAL. =. 15,800,000
Hahahaa!, vizuri sana......
 
Inategemea mtaji wako ni kiasi gani,lakini kama hiyo picha hapo juu ndio wewe nna uhakika hautashindwa bajeti hii kwa saluni bora kabisa na ya kisasa.


Viti 6@900,000 = 5,400,000
mashine5@100,000. =. 500,000
viti 2(washing room). =
Air confitioner 18000BTU 5*5 = 1,400,000
Tv inch 32 sumsung. =. 500,000
Workstation mirror 4@200,000= 800,000
Towel warmer. =. 400,000
Sterilizers. 4@ 200,000. =. 800,000
Generator. =. 500,000
others. =. 500,000
Frame and refurbish. =. 5,000,000
TOTAL. =. 15,800,000
Duh
 
Inategemea mtaji wako ni kiasi gani,lakini kama hiyo picha hapo juu ndio wewe nna uhakika hautashindwa bajeti hii kwa saluni bora kabisa na ya kisasa.


Viti 6@900,000 = 5,400,000
mashine5@100,000. =. 500,000
viti 2(washing room). =
Air confitioner 18000BTU 5*5 = 1,400,000
Tv inch 32 sumsung. =. 500,000
Workstation mirror 4@200,000= 800,000
Towel warmer. =. 400,000
Sterilizers. 4@ 200,000. =. 800,000
Generator. =. 500,000
others. =. 500,000
Frame and refurbish. =. 5,000,000
TOTAL. =. 15,800,000
Hahahaha... Thanks jamii forum
 
Inategemea mtaji wako ni kiasi gani,lakini kama hiyo picha hapo juu ndio wewe nna uhakika hautashindwa bajeti hii kwa saluni bora kabisa na ya kisasa.


Viti 6@900,000 = 5,400,000
mashine5@100,000. =. 500,000
viti 2(washing room). =
Air confitioner 18000BTU 5*5 = 1,400,000
Tv inch 32 sumsung. =. 500,000
Workstation mirror 4@200,000= 800,000
Towel warmer. =. 400,000
Sterilizers. 4@ 200,000. =. 800,000
Generator. =. 500,000
others. =. 500,000
Frame and refurbish. =. 5,000,000
TOTAL. =. 15,800,000
[emoji33][emoji33]noted
 
Back
Top Bottom