Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Habari za jion wakuu.pole na ujenzi wa taifa letu.natumai nyote mnaendelea vizuri kbsa.labda nisipoteze muda wakuu..kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Ninataka kufungua saloon ya kiume maeneo ya kigambon lkin changamoto ni pale linapokuja swala la kutokuwa na uzoefu na hiyo biashara..vitu kama mtaj kama kiasi gan,vifaa vya saloon,changamoto zake,mana hakuna biashara isiyokuwa na changamoto..na mambo mengine mengi ndg zangun ambayo siyafahamu juu ya hiyo biashara.
Shukran zangu za dhati ziwafikie wote watakaonichangia kwa namna moja au nyingine.changamoto zinakubalika.Mungu azidi kuwabariki[emoji1545]