Biashara ya salon za kiume na kike

Biashara ya salon za kiume na kike

Ndaaaah! Mwanipa muda mgum saana wakuuu kwa changamoto kaa hizo,
Ila kama we ni kinyozi pia itakua fresh..na kama umeshafika stage ya mwisho endelea tu mkuu..unaweza kukuta ukatoboa pia..maana kila mtu na bahati yake..ila inshu usimamizi tu utakaouchagua ww..ila kinyozi always anataka maslahi yake kwanza..io ni tahadhali.kama utaiweza its a good busn..
 
Hii biashara ni nzuri na inalipa iwapo tuu utazingatia 1) location ya goli lako, 3)Aina ya usimamizi, 3) huduma utakazotoa kulinganisha na salon za karibu.

Nafanya hii biashara mwaka wa tatu sasa, hii biashara wakabidhi vinyozi, hakikisha unamteka kinyozi mmoja ili awe overall incharge na ajione goli kama la kwake huku bila ya kusahau kuweka respect, (yaani wafanyakazi wako wakutambue wewe ni nani na wajibu wao ni upi katika kazi)

Vinyozi ni pasua kichwa sana, ila jitahidi kuwasom wanataka nini, lakini kuna muda hawaelewekagi , ila wakitulia wanatulia kweli, halafu vinyozi wanakuaga na roho za kwanini wenyewe kwa wenyewe.

Kama utafungua barbershop, mbilinge nyingine ipo kwa wadada, kwa upande wangu hawa ndio wasumbufu kuliko vinyozi, nilishasumbuka nao sana, baadae nikaja kukabidhi jukumu la wadada ikiwamo malipo ni juu ya vinyozi, mimi ninachotaka wateja wasikose huduma

Wadada wa scrub kwenye barbershop wanavutia wateja kwa asilimia kubwa sana, kwahiyo wakiwa bom, andika maumivu, hawa watu wachukulie usiwadharau japo ukipata wasiojielewa hawatofautiani sana na wahudumu wa bar, ila pia usigegede wafanyakazi wako.

soon nafanya ukarabati, mzigo wa zamani naupeleka wilayani kufungua kijiwe kipya ili walau grease ipatikane.
 
hongera mkuu,,
 
Nauza barbershop, Iko barabarani ina viti vitano, imekamilika kilakitu na mashine zote ziko. Niko Daresalam maeneo ya mwenge karibu na Mlimani city.
Kwa akakate itaji 0784516200
 
Mpango wangu kufungua saloon 5 zenye gharama ya million mbili kila moja alafu nitafute wadada wanao jua kusuka na wapo serious na maisha kila mmoj nimkabiz saloon yk kwa siku wanipe 30000 ndani ya miezi 6 nawakabidhi saloon. baada ya miez 6 nitakuwa na Tsh 2,700,000 - toa mtaji million 10 nakuwa nimebakiwa na million 17 je wazo langu liko sawa?

Nilisha fany Utafiti wa vifaa vya saloon na kulipia kodi miez 6 gharam yk ni million 2

Msaada wadau mwenye ushauri juu ya wazo langu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#UshauriWanguKwako
Usiweke mayai yote ndani ya kapu moja.
Kama maisha yangekua rahisi namna hiyo, Changamoto ya ajira / umasikini isingekua kubwa namna ilivyo sasa. Fungua salon moja kwanza au mbili then uone utakachokipata ndicho ulichokikusudia, then ukijilidhisha endelea na biashara.
Usije kusema hukuonywa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina swali wakuu kwa mtaji wa 1M eti salon gani nzuri kati ya kike na kiume.

Swali laniongeza je kati ya salon na library ya kukodisha CD yepi bora kifanya yenye faida kwa mtaji wa 1M.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#UshauriWanguKwako
Usiweke mayai yote ndani ya kapu moja.
Kama maisha yangekua rahisi namna hiyo, Changamoto ya ajira / umasikini isingekua kubwa namna ilivyo sasa. Fungua salon moja kwanza au mbili then uone utakachokipata ndicho ulichokikusudia, then ukijilidhisha endelea na biashara.
Usije kusema hukuonywa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelew wandugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elfu 30000 kwa siku,inabidi saloon iwe sehemu iliyochangamka hasa.
 
Back
Top Bottom