Biashara ya samaki

Mkuu nipm namba yako tuongee
 
Nina bwawa la samaki 5000-5500 waliokomaa aina ya trapia/ngege/sato, samaki hawa wana uzito kati ya kilo 1.2 hadi kilo 5, naombeni mniunge na masoko niweze ziuza, niingize mpya. Bwawa lipo Kigoma mjini.

Asanteni sana
Vifaranga vinapatikanaje na kwa bei gani?
 
Kisha niajiri mtu wa kukaanga na kuuza nitakuepo na mimi eneo la biashara mda wa jioni sababu mchana nitakua na vipindi.
Natafuta mtu wa kuniuzia samaki wabichi hapa mwanza kutoka huko ziwani kwa bei ya jumla au wajuvi nielekezeni soko zuri.
Naanza na mtaji wa 55k. mchanganuo ni kama hivi;

Mafuta lita tatu 10000/=,
Karai 5000/=,
Vitu vingine 10000/=,
Samaki wa kuanzia 30000/=

Location ni barabarani mtaa uliochangamka kiasi chake.
 
Habar wakuu!
Mwenye kujua taratibu za kupata vibali vya kufungua butcher la samaki na nyama. Naomba msaada, hasahasa kuhusu TFDA na TRA.
 
Mkuu umefikia wap, nataka kuanzisha huu mradi dodoma nipe changamoto zake
Nilikuwa na mawazo sawa na wewe, kwa sasa nipo Dodoma ila nyumbani ni Mwanza, nimefanya uchunguzi binafsi kwa mda niliokaa hapa Dodoma nimegundua kuna uhitaji mkubwa wa samaki, nimejipanga kurudi nyumbani nikachangamkie hii fursa. Kama uko tayari tunaweza kupanga namna ya kufanya hii biashara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kuanzisha biashara ya samaki kwa kuchukua mzigo kutoka mwanza nakusambaza mikoani ila naitaji kujua ziadi kuhusi vibari na ushuru pia na nimikoa gani ina uhitaji sana wa samaki. Pia samaki nitakao kuwa nasambaza ni SATO na SANGARA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kuanzisha biashara ya samaki kwa kuchukua mzigo kutoka mwanza nakusambaza mikoani ila naitaji kujua ziadi kuhusi vibari na ushuru pia na nimikoa gani ina uhitaji sana wa samaki. Pia samaki nitakao kuwa nasambaza ni SATO na SANGARA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…