Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Zanzibar Spices kwa sasa sato bei gani kwa kg?kwa Zanzibar
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hiyo uko poa sana mkuuMkuu katika uanzishaji wa biashara kuna vitu vi3 vya msingi unatakiwa kuvijua au kuwa navyo
1.Capital
2.Market
3.Knowledge
Capital ya kuanzisha Bucha/Samaki unahitaji kuwa na Fremu ya kisasa yenye A/C,Mashine ya Kukata Nyama(Unaweza kununua sido) hapo Vifaa A/C+Mashine+Fremu(kodi 6months) unahitaji si chini ya 1.2m,Mtaji wa kilo 500 nyama sh 2.3m,mtaji wa samaki kilo 100,Sh 500,000/=,Deepfreezer kubwa 400,000/=,Stand za vyuma pamoja na Hooks 100,000/=,Grand Total~4.5m
=========
=========
Market,inabidi butcher lako litageti soko la mama ntilie/wauza chips na makazi ya watu,mama ntilie ndio wanunuaji wakubwa wa nyama kwani wanapika Supu na pili mboga kwa wateja,wauza chips stake wanatengenezea mshikaki!
=========
=========
Knowledge,Mkuu hapa inabidi uwe unaamka saa 3 kwenda kufata nyama au uwe unaagiza kwenye vigari vile special kwa ajili ya kubebea nyama,saa kumi na 1 alfajiri uwe upo buchani unaanza kuuza,uhifadhi wa samaki na nyama inayolala unabidi uhuzingatie,Nyama kilo moja ni kuanzia 6000 hadi 7000 na samaki sato kilo 8000 hadi 9000 wakati sangala 7000 hadi 8000.
Kazi ni kwako mkuu.
Kama kuna mtu yuko serious mimi naleta samaki aina ya Sato 500 kila siku ambazo ni 3,500 kwa week kutoka Mwanza.. Nasambaza mahotelini na kwenye bars, Ni PM nauza kwa bei ya jumla samaki wa size ya nusu kilo Tsh 3,750 naanza kuchukua order kuanzia 50.
Zanzibar Spices kwa sasa sato bei gani kwa kg?kwa Zanzibar
amu huyu Zanzibar Spices anafanya biashara ya bodaboda, biashara ya kirikou, biashara ya kuuza mashuka ya kigoma, biashara ya.... biashara ya.... sema ninachompendea huwa sio mchoyo wa maarifa.
Mi ni msemaji wake kwa siku ya leo tu. ha ha ha
UNAO HAO SAMAKI??Wadau nauliza upatiknaji wa soko la samaki waliokaangwa, kuokwa, kubanikwa na wabichi kutoka Mwanza kama sato, sangara, kamongo n.k namna ya kupata wateja na maeneo ya kuuzia pamoja na hatua za kufungua pamoja na uendeshaj wake (risks and benefits) wa biashara hii. Naomba msaada kwa 0764639286.
Nilishawahi kukutapeli wee unanifahamu Mimi Mkuu?kuwa makini kuna matapeli humu,watajifanya kujua saaaaaaaaana huko pm
Duh, nafikiri hakuwa na nia mbaya kusema ni'pmNilishawahi kukutapeli wee unanifahamu Mimi Mkuu?.
Sijakusoma mkuumkuu nina wazo kama hilo natnimeshawishika kutokana na mafanikio waliyoyapta ndugu zang
Huyo Jamaa huenda yeye ndiye Tapeli humu au alishatapeliwa Sana na sasa utakuja kutapeliwa mpaka Mke Wako coz Unajifanya unajua kumbe Zuzu Tu .Duh, nafikiri hakuwa na nia mbaya kusema ni'pm
Nafuga samaki mwenyewe ila sio raic kihivyo kma unavyosema wewe.tafuta eneo tengeneza bwawa la samaki watafute wataalam kwa maelezo zaidi tilapia wanafugika ukiwaweka 500 au 1000 miezi nane ni hela..hii ni rahisi unapata kitoweo na kipato na mtaji sio mkubwa wa kujenga na chakula kwa kipindi hicho..
mimi nimefuga samaki nikiwa mbeya ni rahisi kuriko iyo ya mashine kununua sijui ukodishe na dogo yupo dar anafuga vizur tuu nimehamia Ar pia ntafuga..Nafuga samaki mwenyewe ila sio raic kihivyo kma unavyosema wewe.
Ngoja nikupe mchanganuo kidogo.mimi nimefuga samaki nikiwa mbeya ni rahisi kuriko iyo ya mashine kununua sijui ukodishe na dogo yupo dar anafuga vizur tuu nimehamia Ar pia ntafuga..