Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Mkuu hawa samaki wa China si ndio juzi wamepigwa marufuku na TFDA mpaka kuwafukiwa mashimoni aisee.Hii fanya uchunguzi wa kuridhisha kabla ya kuchukua hawa samaki kutoka China. Ila uvuvi mzuri na unalipa especially bahari ya hindi.Mi mwenyewe natafuta mtu wa kunipa mawili matatuHata mimi hilo wazo nime lifikiria sana manake naona kama ziwa nyasa kwetu kyela hawavui samaki inavyotakiwa. Kwa kifupi samaki ni adimu sijui Kwa sababu wamepungua au ni ukosefu wa vifaa vya kisasa vya uvuvi.
Pia nimekua nikifikiria sana biashara ya kuagiza frozen fish toka nje. Mbeya Kuna samaki wanapendwa sana huletwa toka China Kwa ajili ya soko pa Zambia ila watu wana smuggle mpaka tz.
Kama Kuna mtu una idea ya hizi kazi karibu tuelimishane.
Wamepiga marufuku Kwa sababu zilikua zinaingizwa Kwa magendo toka Zambia bila vibali vya tfda. Viwango zinavyo ila hazija thibitishwa Kwa soko la Tanzania.Mkuu hawa samaki wa China si ndio juzi wamepigwa marufuku na TFDA mpaka kuwafukiwa mashimoni aisee.Hii fanya uchunguzi wa kuridhisha kabla ya kuchukua hawa samaki kutoka China. Ila uvuvi mzuri na unalipa especially bahari ya hindi.Mi mwenyewe natafuta mtu wa kunipa mawili matatu
Naomba kupewa elimu kuhusu ufugaji huko arusha kama vile gharama za kukuziaNafuga samaki mwenyewe ila sio raic kihivyo kma unavyosema wewe.
mimi nimefuga samaki nikiwa mbeya ni rahisi kuriko iyo ya mashine kununua sijui ukodishe na dogo yupo dar anafuga vizur tuu nimehamia Ar pia ntafuga..
UKIPATA ELIMU YOYOTE NAOMBA TUTAFUTANE PM PLEASE.Hata mimi hilo wazo nime lifikiria sana manake naona kama ziwa nyasa kwetu kyela hawavui samaki inavyotakiwa. Kwa kifupi samaki ni adimu sijui Kwa sababu wamepungua au ni ukosefu wa vifaa vya kisasa vya uvuvi.
Pia nimekua nikifikiria sana biashara ya kuagiza frozen fish toka nje. Mbeya Kuna samaki wanapendwa sana huletwa toka China Kwa ajili ya soko pa Zambia ila watu wana smuggle mpaka tz.
Kama Kuna mtu una idea ya hizi kazi karibu tuelimishane.
ASHA NGEDELE wewe ni wa mwanamke au mwanaume? jina lako tata kidogoUKIPATA ELIMU YOYOTE NAOMBA TUTAFUTANE PM PLEASE.
Samaki kuwapata n.kugusa sasa hapa.nimekuja kupata ushauri mkuuUNAO HAO SAMAKI??
Wassalam, unaweza kunipa gharama ya machine ya kukoboa na kupack mchele Natanguliza shukranPamoja na maelezo mhimu ya King, na kwakuwa nipo kwenye mchakato wa kuanzisha hii biashara naomba niongezee kidogo. Mimi nategemea kuifanya katika kwa kiwango cha kati na hivyo wateja wangu wakuu nitategemea mahotel na watu wa kipato cha kati na siyo mama lishe. Mambo makuu ninayoyafikiria ni haya
- Jina la kampuni linalofanana fanana na chakula-nitakuwa na matawi mikoa mitatu (Dodoma, Arusha, Dar)
- Location ya biashara-nafikiria iwe kwenye junction kama mwenge kwa Dar
- Means of Transportation-Nitakuwa na gari kubwa ya freezer kwaajiri ya kusafirishia kutoka Lake zone na kupeleka Arusha, Dar then Dodoma kabla haijageuza kurudi Lake Zone.
- Nitakuwa na Gari ndogo kila centre kwaajili ya kusambaza kwa wateja wa kudumu kama wenye hotel na mashule.n.k
- Nitakuwa na Deep freezer kwa kila kituo.
- Nitakuwa na standby Generator kukabiliana na changamoto za TANESCO kwa kila kituo
- Nitatengeneza machinjio ya kisasa-hii ni plan ya baadae baada ya kupata shamba la kutunzia mifugo
- Nitakuwa na shamba la mifugo ambayo ndiyo malighafi yangu
- Nitakuwa na kituo cha kukusanyia samaki hapo Mwanza-Natafuta mtaalam wa kutengeneza Coldroom
- Bidhaa nitakazoanza nazo ni-Nyama ya Ng'ombe, Mbuzi, Kondoo. Kuku wa kisasa na kienyeji, Samaki aina ya Sato na Sangara, Lakini pia nitakuja na mchele kwa Arusha na Dodoma......tayari nina 100bags za kuanzia na nipo nafunga mshine ya kisasa ya kukoboa na kubangua mchele na kufunga 5, 10. 15, 20kg
- Project to start in June 2014.
Tafadhali mawazo yenu. Nipo tayari kulipa gharama za Busness Plan ila kwa mtu mwenye input ya maana.
Samaki ninao mkuu just chek me kwa 0764639286. Delivery ni popote ulippo nduguUNAO HAO SAMAKI??
KAMA UNAHITAJI SAMAKI KUTOKA MWANZA WABICHI KABISA NIPM NIPO DAR NINASUPLY KWA JUMLA NA REJA REJA NAKULETEA HADI ULIPOJamani naomba kujua utaratibu wa biashara ya samaki wabichi kwa kuwachukua ziwani kwa wale wafanyabiashara wadogo wadogo
KAMA UNAHITAJ SAAMAKI WABICHI NA UPO DAR NIPM NAFANYA DOOR TO DOOR DELIVERY KWA WAUZAJ WADOGO NA WAKUBWANina kibanda changu kiko mbeya mitaa flan ya utulivu ya makazi ya watu. Sasa ninawaza nianzishe biashara ya fresh food, ntaweka na dagaa wa kukaanga wa mwanza, pia mayai (kuku nafuga), pamoja na asali kwa packaging nzuri na lebelling
Nawasilisha. Naomba muongozo upatikanaji wa samaki na handling yake.
Sa so utoe experience yako kwenye hyo biashara tujifunze kituKAMA UNAHITAJ SAAMAKI WABICHI NA UPO DAR NIPM NAFANYA DOOR TO DOOR DELIVERY KWA WAUZAJ WADOGO NA WAKUBWA
Nipo Mbeya mkuuKAMA UNAHITAJ SAAMAKI WABICHI NA UPO DAR NIPM NAFANYA DOOR TO DOOR DELIVERY KWA WAUZAJ WADOGO NA WAKUBWA