Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Stationery sio stationary
........na hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stationery sio stationary
rent is excluded ...only for equipmentshiyo 3ml include rent or!
Pango lipo pembeni hiyo ni kwa ajili ya vifaa tuPhotocopier machine utapata kwa shingapi alafu pango la bihashara shingapi au ndo teyari unavyo vyote
Ndio, na hiyo ikiwepo........na hii?
Habari zenu wadau, hatimaye leo nimepata fremu ya biashara na nimejipanga kutoa huduma za stationary katika mji wetu wa Tukuyu. Nimepata changamoto kidogo; Jina la biashara. Nina dhamira ya kupata jina ambalo ni unique kidogo. Usiku kucha nimefikiria nimepata baadhi ya majina ambayo ni popular (hayatumiki katika maeneo yetu)
.Sasa sijajua kama naweza kuyatumia na inakuwaje kwenye mambo ya usajiri wa biashara in fact nimezunguka zunguka majina yaliyoandikwa lol..ya ajabu, mengine yanajirudia. Mwenye uzoefu kiasi na haya mambo adadavue tafadhari maana nisije weka bango halafu ikiwa shida!
Me npo machoWadau bado mmelala??
Me npo macho
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriNinafanya biashara ya stationaries, Nina photocopy machine aina ya CANON IR 1024, Photocopy hii naitumia kwa shughuli mbili ambazo ni Phocopying na printing. Napata shida kujua idadi ya kurasa zilizo printiwa (printed), mashine hii ina counter ambayo inaonyesha idadi ya kurasa zilizo toka. Counter ya Photocopying na Printing ni hiyohiyo hivyo inakuwa vigumu kujua zilizokuwa printed ni ngapi na photocopying ni ngapi
Naomba ushauri katika hili
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriHabarini wadau, naomba kwa mwenye ufahamu juu ya vifaa mbalimbali vya stationery na bei zake tafadhali anisaidie. Nina eneo tayari na mtaji wa milioni mbili kwa kuanzia. Asanteni
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuriSafi sn mkuu. Kwa ushauri wng mimi, milioni mbili ni ndogo sn, na inategemea ni aina gani ya stationery unataka kuanzisha. Nasema hivyo kwa sababu, photocopier nzuri ya kisasa, ambayo ni used, ni zaidi ya hiyo milioni 2. Hapo bdo hujanunua computer na printer za rangi. Printer black & white unaweza ukatumia hyo hyo photocopier. Hzo ni components tu ambazo ni vitendea kazi vya haraka haraka, bado hujanunua mzigo. Ni ngumu kuweka bei za mzigo kwani zinatofautiana gharama za upatikanaji wke, na inategemea upo wapi. kwa mikoani kuna gharama za usafirishaji kumbuka. Ungekuwa na kama mil 8 hv, ungekuwa pazuri sn.
Sent from my iPad using JamiiForums app
unaweza ukanipa link ya hiyo programu, au kama ni siri naomba uni PM kuhusu taratibu za kuipata hiyo programu
kiongozi naomba hiyo programu ili niweze kuitumia
mkuu e mail yangu ni::accmoshi gmail.com (ntumie hii program. pia namba yangu ni 0713039875- tujadili being)Mkuu samahani kwa kuchelewa.Nitumie email nikutumie maana sioni option ya kuattach hapa.