Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Photocopier machine utapata kwa shingapi alafu pango la bihashara shingapi au ndo teyari unavyo vyote
 
Asante kwa kukosoa nimeelewa, toa basi na msada wa mawazo baada ya kukosoa
 
Habari zenu wadau,

Hatimaye leo nimepata fremu ya biashara na nimejipanga kutoa huduma za stationary katika mji wetu wa Tukuyu. Nimepata changamoto kidogo; Jina la biashara. Nina dhamira ya kupata jina ambalo ni unique kidogo.

Usiku kucha nimefikiria nimepata baadhi ya majina ambayo ni popular (hayatumiki katika maeneo yetu).Sasa sijajua kama naweza kuyatumia na inakuwaje kwenye mambo ya usajiri wa biashara in fact nimezunguka zunguka majina yaliyoandikwa lol ya ajabu, mengine yanajirudia.

Mwenye uzoefu kiasi na haya mambo adadavue tafadhari
maana nisije weka bango halafu ikiwa shida.
 

Hakuna maana ya kaundika jina unique wakati unatoa huduma mbovu. Wewe kaza kwenye huduma bora na customer care.
 
Jina ni mhumi pia ila huduma bora ni muhim zaidi ya jina.
Maana sie wengine huwa tunaingia sehem hata jina hulifuatilii na wapo wanafanya huduma hizo bila jina na wapo vizuri sana.

Angalia Halmashauri yako ipoje kwenye Suala la hayo mabango,na pia kama umesajili kwa jina binasfri au jina la Biashara.
 
Kwa wataalamu wa biashara. Je, maeneo ya mwenge au sinza kufungua duka LA kuuza stationery kwa jumla panafaa,maeneo ya kariakoo fremu bei juu.
 
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuri
 
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuri
 
ni vitu gani vinahitajika ili nifungue internet cafe itakayokuwa inatumia kompyuta nne
 
modem, router, cables pamoja na pin zake, hand cafe software kumanage internet conection(kukuwezesha kuuza muda wa kuwa online kwa kila pc/mteja
 
Wakuu nafikiria kuanzisha biashara ya stationery huku mkoani kanda ya ziwa. Naomba mwenye kujua undani wa biashara hii atoe uzoefu hasa kwenye ununuzi wa mzigo kama Mwanza inaweza patikana kwa bei ya Dar. Na pia kuna baadhi ya biashara kama za nguo naskia watu wengi kanda ya ziwa wanafuata mzigo Kampala kwa sababu wanadai mzigo toka huko huwa hakuna feki. Kuna mtu aliniambia Kariakoo asilimia kubwa ya vifaa vya stationery ni feki japo yapo maduka yenye vitu halisi. Naomba tupeane uzoefu maana nategemea kupata wadau wa elimu na ofisi kuwa wateja wangu. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…