Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Flem bado hapo
 
Inawezekana kabisa nunua rimu anza kazi, vingine utanunua kadri biashara inavyokuwa, Jitahidi kwa kuwa biashara ni changa mtaji haujajitosheleza usiitegemee kuza kwanza mtaji kama inawezekana. Wino ukiisha tu nione, maana nasambaza wino za mashine na printer zote karibu sana.
 
Kuwa na One M nje ya pango
 
Ukiskia Mfano tosha wa kazi timilifu ya shetan..ndo hii sasa
Kuuliza ndio Ushetani mkuu?

Badala yake nadhani ni swali zuri sana.
Mleta hoja alifanyie kazi.
Angewekeza vizuri kwenye uwezo wa kuifanya kazi tarajiwa,
Na si lazima Kazi awe anaifanya yeye maana kwa makosa hayo ni ukweli ulio wazi inaweza kuwa changamoto.
 
Hapo unaweza ukaanza kama utaofia kuila pesa, but angala imgefika 1m hivi ingekuwa sawa, kwasababu kunagharama kidogo ya lazima kama meza, kiti n.k
 
Ujumbe ume uelewa au, jikite kwenye mada achana na ishu zisizokuwa na
msingi.
Kuijua vyema Kazi unayotaka kuifanya ni kuhimu kuliko huo Mtaji wenyewe.

Wapo watu wanafunga safari ndefu kufuata huduma bora huku wakiwaruka watoa huduma 'bora-liende' wanaojifanya wanajua sana kama wewe.

Hivi nije Ofisini kwako,
Nikupe kazi kisha ukosee kuichapa si utasema ni 'ishu' isiyo na msingi?

Shughuli ya aina hiyo si kuwa na Mtaji/Vitendea kazi pekee au jengo,
Unapaswa kuijua Kazi yenyewe lakini pia Mbinu za Biashara.

Lakini kwa kuwa unajua sana,
Pengine uachwe.
 
Utaweza sana anza na ulichonacho. Hii biashara niliifanya kwa miaka 3 nlipoaiacha nikampa mtu ikafa ina faida sana kama location iko saf.
Unanunua kitu kkoo kwa 300 unauza kwa buku
 
Itategemea unataka kufungua stationery ya namna gani, ila km unataka kuweka photocopy na computer na machine zote hiyo hela unaweza kupata photocopy pekee, labda kama unataka kuuza vitu km daftali na pen
 
Itategemea unataka kufungua stationery ya namna gani, ila km unataka kuweka photocopy na computer na machine zote hiyo hela unaweza kupata photocopy pekee, labda kama unataka kuuza vitu km daftali na pen
Mkuu photocopy, printer na computer ninazo
 
Hiyo laki sita fanya hivi (makadirio)
200,000 kodi ya fremu
200,000 meza 2 na viti
20,000 vifaa vya usafi
9,000 nunua Rim paper
50,000 matumizi ya ziada
50,000 Nunua peni, pensils, marker pen, vichongeo, ufutio, rula, Bahasha A4,
50,000 nunua kamera ndogo kwa ajili ya Passport Size.
5000 nunua karatasi za passport size
3,000 binding tape
5,000 stapler
2,000 stapler pins.

Lamination na Binding Machine utanunua baadae.

Anza mapambano.

Mimi nimefungua yangu Januari 2021 kwa mtaji huohuo around 600,000 / 700,000
 
Ahsante sana mkuu
 
Mkuu kodi ya pango hiyo Tshs.200,000 inakuwa kwa muda gani na LOCATION ya maeneo ya wapi?

Camera ya Tshs.50,000 uanunua dukani au mkononi (used)? Itakuwa na uwezo mzuri kweli mkuu? Au ni bora akapigia simu yenye quality nzuri ya camera?
 
Well said
 
Mkuu kodi ya pango hiyo Tshs.200,000 inakuwa kwa muda gani na LOCATION ya maeneo ya wapi?
Camera ya Tshs.50,000 uanunua dukani au mkononi (used)? Itakuwa na uwezo mzuri kweli mkuu? Au ni bora akapigia simu yenye quality nzuri ya camera?
Camera ya Tsh 50,000 unanunua kwa mtu utapata yenye megapixels 13 hadi 20 inafaa kwa passport size. Kama Simu inapiga vizuri picha anaweza akaanza na simu ila flash ya simu ni ndogo picha zinaweza kufifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…