Biashara ya sukari sasa imekuwa kama ya ngada, tupo tayari kununua sukari hata kwa 4000/= ipatikane tu

Mkuu jaribu kujipa elimu kidogo kuhusiana na uzalishaji wa sukari na uagizaji toka nje kwa kipindi cha walau miaka 20 utapata picha na maarifa kisha ulete comment nzuri. Hii comment yako inakuzomea kuwa umekurupukia kitu usicho na uelewa nacho.

Good day sir/madam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ufe tu hii dunia unaweza ukaozea jela kama utatoa ya moyoni kiukweli tupo kwenye wakati mgumu sana japo tunajitahidi kupeleka vifua mbele kama tumebanwa na korona
 
Kuna mambo yanakuaga ni ya mpito ila yanasikitisha sana...

Ni kama vile serikali na wafanyabiashara wanatunishiana misuli...



Cc: mahondaw
 
Moja Kati biashara iliyo kwenye.mipango yangu ni hii ya sukari

Hii biashara bhana Nia demand kubwa sana na supply yake haikidhi kabisa hio demand

Hii inaifanya sukari hapa Tz kuwa one of the most valuable goods .

Watu hawajui tu Kuna gapes nyingi sana ndani ya hii biashara ya kutusua nje nje [emoji1787][emoji1787]

Ngoja muendele kukusanya nguvu soon sukari nitaanza nayo as retailer mpka kuja kuwa wholesaler

Sukari ni Mafuta ya Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli aisee.
Mimi nilikuwa sijui kama sukari imeadimika ila juzi nimekwenda kwenye mini supermarket fulani kununua vyakula sasa nikashangaa watu wengi wamama na wababa wanaingia mle supermarket kuulizia sukari na hawakufanikiwa kupata.
Hapo ndio nikashtuka na yule dada ndio akaniambia sukari imeadimika ukihitaji njoo weekend nitakuwa nishaagiza nitakuwekea.
Nikasema asante nitakuja kuchukua sukari yangu
Kama muuzaji hakujui hakuuzii kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sukari ya nn? Tumieni chumvi Ni nzuri kwa afya pia ni nafuu kuliko sukari
 
Hebu picha ya huyo dad's was supermarket nami niagize sukari 10kg
 
Nguvu na ubabe havijawahi leta suluhisho kwa wananchi ila dhiki kuu na serikali kushindwa tawala
 
Kwani Mtibwa sugar wana semaje kuhusu ili

sijui itakuaje
 
Mimi juzi nimenunua kilo 1 kwa sh.elf 4 na tena baada ya kuzunguka kama nusu saa nikiwa na bodaboda ambae anaijua mitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…