Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaenda kwa anuani ndio wapata sukariWafanyabishara wameisusia serikali na tayari mpambano umeisha
Hatari mkuu sukari hakuna madukani hapo nilipoiukuta watu walikuwa wanaigombania kama "NJUGU".Eti nilivoifuma[emoji16][emoji16]
Mkuu jaribu kujipa elimu kidogo kuhusiana na uzalishaji wa sukari na uagizaji toka nje kwa kipindi cha walau miaka 20 utapata picha na maarifa kisha ulete comment nzuri. Hii comment yako inakuzomea kuwa umekurupukia kitu usicho na uelewa nacho.Usiamini kila wanachosema kwa nini hiyo kitu ianze miaka hii ya kuanzia 2012 kuendelea? Huko nyuma hawakua wanafanya maintenance?? na hiyo miwa inayosubiriwa kukua sasa hivi kwani zamani ilikuwa inatokea wapi? Kwanini wasipishanishe miezi ya kufanya matengenezo baina ya viwanda vyetu?
Mathalani tuna viwanda 8, basi vitano vifanye kazi na hivi vitatu vifanye matengenezo yao kwa miezi miwili kisha vianze kazi? Baadae vifuate tena vingine vitatu kisha wamalizie na viwili na kwanza hakunaga utaratibu wa kufunga uzalishaji wa kiwanda chochote kila mwaka kisa ni maintenance ingekua hivyo basi ingekua kawaida kabisa nchi kukosa umeme kwa miezi kadhaa, kukosa vifaa vya ujenzi kama cement, bati, misumari, nondo nk kisa kikiwa ni viwanda vinatengenezwa
Kwa hiyo viwanda vya sukari tu ndio vinaharibika kwa kufanya kazi sana? wenzao wenye viwanda vingine wao hawaharibikiwi? Huu ujinga sijui utatuisha lini watz kama tatizo ni miwa inaachwa ikue mbona mazao mengine kama ngano yanayotumika sana kwa kazi tofauti huwa hayakoseni, bia zinanyweka kama kawaida mwaka mzima, maandazi, chapati, keki zinalika mwaka mzima, sembuse miwa ambayo mashamba ya miwa mengi nchini yanalima miwa kipindi chote cha mwaka maana wana mifumo ya umwagiliaji mashambani.
Huu ni ujinga....waseme ukweli tatizo ni nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi mkuuu nije fastaHapa hapa DSM kuna sehem sukari wanauza 2,800 ila inabidi ujifanye kama mpelelezi hivi maana wanakutingisha kwa 4,000 kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama muuzaji hakujui hakuuzii kabisa
Hebu picha ya huyo dad's was supermarket nami niagize sukari 10kgNi kweli aisee.
Mimi nilikuwa sijui kama sukari imeadimika ila juzi nimekwenda kwenye mini supermarket fulani kununua vyakula sasa nikashangaa watu wengi wamama na wababa wanaingia mle supermarket kuulizia sukari na hawakufanikiwa kupata.
Hapo ndio nikashtuka na yule dada ndio akaniambia sukari imeadimika ukihitaji njoo weekend nitakuwa nishaagiza nitakuwekea.
Nikasema asante nitakuja kuchukua sukari yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu picha ya huyo dad's was supermarket nami niagize sukari 10kg
Wanyarwanda hawajui kukataa sema Bei Sana
Mwanza sukari ya kumwaga...kama kuna member ana shida aje PM nimtumie kwenye basi huko dar na penginepo ambapo sukari haitoshi!Nipo Mwanza boss