Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mkuu Equatorial Guinea walitawaliwa na Hispania. Bahati nzuri mpaka wanapata uhuru hawakujua kuwa wana mafuta. Tangu mafuta yagundulike hakuna maendeleo ueyote kwenye nchi zaidi ya Rais na familia yake kuongeza idadi ya nyumba FranceNaomba mtazamo wako hv kweli watu weusi upeo wetu wa kufikiria upo Sawa maana matatizo yote ya Afrika ni Sawa ubinafsi wa viongozi wetu uliopitiliza eti sukari nchi imepata Uhuru karibu miaka 59 iliyopita bado kuna tatizo la sukari tu mie Shauri wngu bora kuomba Hawa mabwana wakubwa warudi tu maana tumeshindwa kila sehemu sie kazi zetu Uwalim ukarani utawala hkn hkn mtu mweusi mwenye uwezo wa kutawala hkn...
Sent using Jamii Forums mobile app