Biashara ya sukari sasa imekuwa kama ya ngada, tupo tayari kununua sukari hata kwa 4000/= ipatikane tu

Biashara ya sukari sasa imekuwa kama ya ngada, tupo tayari kununua sukari hata kwa 4000/= ipatikane tu

Naomba mtazamo wako hv kweli watu weusi upeo wetu wa kufikiria upo Sawa maana matatizo yote ya Afrika ni Sawa ubinafsi wa viongozi wetu uliopitiliza eti sukari nchi imepata Uhuru karibu miaka 59 iliyopita bado kuna tatizo la sukari tu mie Shauri wngu bora kuomba Hawa mabwana wakubwa warudi tu maana tumeshindwa kila sehemu sie kazi zetu Uwalim ukarani utawala hkn hkn mtu mweusi mwenye uwezo wa kutawala hkn...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Equatorial Guinea walitawaliwa na Hispania. Bahati nzuri mpaka wanapata uhuru hawakujua kuwa wana mafuta. Tangu mafuta yagundulike hakuna maendeleo ueyote kwenye nchi zaidi ya Rais na familia yake kuongeza idadi ya nyumba France
 
Nilitamani sana Trump atekeleze alivyoahidi
 
Mm najiuliza viwanda vimesimamisha uzalishaji ama?
TPC
Mtibwa
Kilombero
Kagera na sasa Kuna Bagamoyo
Vyote hivyo

Mkuu, hii ni shida sana, nadhani hivi viwanda wamiliki wake wengi ni wanasiasa na ndio maana kila kinaamuliwa na serikali kuhusu uzalishaji wake hakifanyiki na hawafanywi vyovyote vile
 
Mkuu Equatorial Guinea walitawaliwa na Hispania. Bahati nzuri mpaka wanapata uhuru hawakujua kuwa wana mafuta. Tangu mafuta yagundulike hakuna maendeleo ueyote kwenye nchi zaidi ya Rais na familia yake kuongeza idadi ya nyumba France
Naomba Radhi ila kwangu kokote kwenye uongozi wa mtu mweusi naona ni kama laana fulani hivi South Africa tayari shirika lao la ndege limekwenda na maji mali ya mtu binafsi sasa naona kabisa baada korona kupita linafata shirika la umeme yani kote kwenye utawala wa mtu mweusi ni balaa juu ya balaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba Radhi ila kwangu kokote kwenye uongozi wa mtu mweusi naona ni km laana fulani hv South Africa tayari shirika lao la ndege limekwenda na maji mali ya mtu binafsi sasa naona kbs baada korona kupita linafata shirika la umeme yani kote kwenye utawala wa mtu mweusi ni balaa juu ya balaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom