T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Mkuu umemaliza kila kitu.Wafanyabishara wameisusia serikali na tayari mpambano umeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umemaliza kila kitu.Wafanyabishara wameisusia serikali na tayari mpambano umeisha
Niko tayari kununua vitu vingine nielekeze sukari ipo duka ganiMaduka ya jumla wanakwambia ukitaka 100 Kg lazima ununue na mafuta au viberiti au kitu chochote ambacho wanacho wanaona mzunguko wake ni mdogo...
Wapi mi nimenunua 4000 aaagh acha tu!Kwetu sukari mbona ni 2,800/= per kg.
Hii Arusha Mkuu sema maeneo mengine huku inapatikana kwa bei elekezi tuu mengine ndio hakuna kabisa Kama ipo baadhi ya maduka ya mjini wanakuuzia mpaka wakujue kwa bei yao ili usilete wazee...wengi wanaouza uji mjini wanajua machimbo sukari ilipo hata huko watumie hao utapata sukari...
Kunae na Manyara Sugar kule Magugu-BabatiMm najiuliza viwanda vimesimamisha uzalishaji ama?
TPC
Mtibwa
Kilombero
Kagera na sasa Kuna Bagamoyo
Vyote hivyo
Mwanza mkuu
Usiamini kila wanachosema kwa nini hiyo kitu ianze miaka hii ya kuanzia 2012 kuendelea? Huko nyuma hawakua wanafanya maintenance?? na hiyo miwa inayosubiriwa kukua sasa hivi kwani zamani ilikuwa inatokea wapi? Kwanini wasipishanishe miezi ya kufanya matengenezo baina ya viwanda vyetu?Mwez wa nne na wa-tano wanasimamishaga uzalishaji kupisha maintenance na miwa iliyooteshwa kukua
Hii ni kwelo kabisa,ukitaka watume hasa hasa mama mtilie unaweza kupewa na asiulize kama ipoHii Arusha Mkuu sema maeneo mengine huku inapatikana kwa bei elekezi tuu mengine ndio hakuna kabisa Kama ipo baadhi ya maduka ya mjini wanakuuzia mpaka wakujue kwa bei yao ili usilete wazee...wengi wanaouza uji mjini wanajua machimbo sukari ilipo hata huko watumie hao utapata sukari...
Siyo chai pekee... vyote vinavyohitaji sukari eidha viachwe au vitafutiwe mbadala... mfano visheri... tambi, etcChai itabidi muipe likizo bila kupenda,
Kitunda ipo,Bei 4000 tuWewe upo eneo gani mana huku Mbagala kote hakuna kabisa
Njoo kitunda 4000 unachukua kilo zako tano swaaaafiWakuu hili suala na utamu kwa maana ya Sukari kwa Sasa ni Kama wafanyabiashara wameamua kuigomea serikali.
Kuna maeneo Bei Sukari imekuwa juu na mamlaka zinazohusika zipo kimya Kama hawaoni na hawajui nini kinaendelea.
Huku Chanika Sukari kilo moja no Tsh.7000/=
Wananchi tunajiuliza inamaana hakuna hatua au malmaka za kushughulikia tatizo hili?
Mtoni kwakindandeWapi huko?
Eti nilivoifuma[emoji16][emoji16]Leo nimenunua sukari za kupimwa kwenye mzani kwa Tsh 3000, Nikanunua kilo 2 fasta maana niliulizia karibia maduka mawili kulikwa hakuna kabisa nilivyoifuma nikachukua kilo mbili fasta.