Biashara ya Sungura imejaa utapeli wa hali ya juu sana

Usinikumbushe mauza uza yaliyoletwa na hiyo taasisi hapa Iringa. Yaani kuna watu wameachwa hawajui kama walikuwa wanatembea kikawaida ama walikuwa wanarushwa kichura chura.
Hahah mwenye hiyo taasis Bi Ubwa, first time nilimuona akitoa speech kwenye malkia wa nguvu. Ana mbwembwe huyo bla bla nyiiingi.
 
Hahah mwenye hiyo taasis Bi Ubwa, first time nilimuona akitoa speech kwenye malkia wa nguvu. Ana mbwembwe huyo bla bla nyiiingi.
Ofisa anayehusika na mambo ya uwezeshaji kwenye Ofisi ya Rais, alisema Namaingo walipewa ruhusa ya kufundisha mambo ya ujasiria mali lakini si kuunda vikundi vya ujasiriamali chini ya mwamvuli wa taasisi yao.
 
Acha niendelee kukomaa kuuza Tangawizi na kitunguu swaumu,
Huku kwingine unatengeneza bidhaa alafu mnunuzi humjui,
Uko sipataki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo hivyo kwa kuku kuchi,
Utaambiwa jogoo la kuchi ni 150,000 kwa ajili ya mbegu,
Eti ukikuza kuchi utauza nchi za Arabuni kuchi mmoja 400,000,
Nunua sasa hiyo mbegu kisha wakuze hao kuchi,
Sikilizia sasa hao wateja Arabuni,
Utasubiri mpaka utaamua uuze tu 15,000 kwa kuku,
Kiukweli hakuna shortcut ya kufanikiwa,
U must start from zero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MMOJA soma hii hapa chini!!!


 
Haya mataka taka sijui ma kuku na sungura na bata binafsi niko intersted for leisure na kwa ajil ya matumiz ya nyumbani primarilly.
Suala la buashara litakuaja kama secondary option baada ya kuona mm nanufaika navyo..
Na sitaki hizo semina sijui zimeenda zikarud mana nu wengi ni wezi kama unavyosema.
 
Ni nyama tamu lakini walaji hakuna Tanzania. Labda uwafuge kwa natumizi yako binafsi si kibiashara.
sidhani kama walaji wamekosekana. shida ni jinsi tunavyotangaza biashara zeta. inakuwaje kwenye baa Luna chipusi kuku na sio chippie sungura?? kama unajua sungura natal vipande sita na kama ukiweza kuuza kila kipande 2k inamaana umeyengeneza 12k. kunasehemu moja ug panaitwa Bugweri jamaa yeye aliona awe tofauti na wengine badala ya kuuza nyama ya kuku yeye akaona aanzishe nyama ya sungura kuchoma haikuwa rahisi mwanzo ila kwa saasa anachinja wasyani wa sungura 6 kwa siku. tatizo letu wabongo tunataka faida harakana attack uvumirivu ktk biashaa
 
Mkuu Haaa angalia usije ingizwa Mkenge, Hao unao wafuatilia wangekuwa wanafaidika nao huo mkojo wangefanya kimya kimya. Nani ahangaike na Mkojo wakati kuna Organi fertilizer Madukani tena quality?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimfugaji wa sungura toka 2013 hadi leo mim nafuga tu kwa 7bu.

Nawapenda kuwaona kula pia uwa nauza mim nafuga tu kienyeji ila wananikomboa vitu vidogodogo cja waikupata changamoto kihivyo eti soko hakuna mala njoo semina mim nilienda polini nikawinda hadi leo hii mim ninao na nauza bilashaka sas cjajua tatizo nin wanazengwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ndio safi ukiwafuga kama hobby tu,mimi siwezi kula Sungura.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema yote kwa ufasaha zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…