MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
mbona hujibu vizuri????
wakatoliki ni washirikina?
kwa sababu kanisani wanachoma ubani...
na majini yanapowazuia watu kusikia kengele ya kanisani je?????
Hapo umenena hata sheik Yahya alishasema wazi anawapa ulinzi baadhi ya viongozi , hivyo ni wateja wake, pia mtoa mada ajaribu kupata takwimu kwa waganga wa Bagamoyo anaweza kupata conclusion tofauti ya utafiti wakeMkuu hiyo namba nne kuna siri gani hapo? Mbona viongozi sijawaona hapo maana nasikia nao ni wateja wakubwa wa uchawi.
Nimeeleza vizuri sana huko juu kuhusu jinsi ilivyo vigumu kumtambua mchawi, mke/mume anaweza kuwa ni mchawi wa kukata na shoka lakini usijue kabisa, jamii inaishia kuwahukumu watu wengine kwa kuangalia umri wa mtu, mabadiliko ya viungo vya mwili kutokana na uzee, ugonjwa au kutoka na mazingira anayoishi.
Je unawezaje kumtambua mchawi unayeishi naye ndani ya nyumba au mfanyakazi mwenzako?
boss, swali lako lipeleke kwenye jukwaa la dini litajibiwa
Hapo umenena hata sheik Yahya alishasema wazi anawapa ulinzi baadhi ya viongozi , hivyo ni wateja wake, pia mtoa mada ajaribu kupata takwimu kwa waganga wa Bagamoyo anaweza kupata conclusion tofauti ya utafiti wake
Kujifunza na kuelewa kitu haimanishi kwamba umekubaliana nacho. Kuna waislamu wanajifunza biblia na wakristu wanajifunza kurani. Ni kuongeza maarifa na kujua hii dunia. Najua htujui vitu vingi kwenye dunia lakini hivi vichache ni vema tukavijua na kuvielewa. Pia kutona na mfano wako, natural science haiwezi kusupprot imani yoyote. e.g. Katika tunaamini kwa mungu lakini sayansi haakuna mungu.Uchawi ni swala zima la kiimani.. mimi siamini.. so wala haunishughulishi.. simaini kama mtu anaweza kugeuka paka.. bilogical such a thing ni impossible, siami mtu anaweza akapaa na ungo.. mechanical physics + laws of gravity hazikubali.. in short i believe in riality not the Unseen magic powers
Uchawi ni swala zima la kiimani.. mimi siamini.. so wala haunishughulishi.. simaini kama mtu anaweza kugeuka paka.. bilogical such a thing ni impossible, siami mtu anaweza akapaa na ungo.. mechanical physics + laws of gravity hazikubali.. in short i believe in riality not the Unseen magic powers
Mkuu maji moto, nina maswali mawili.
1. Kwa mujibu mwa maelezo yako kuna tofauti gani kati ya msukuleni na kuzimu.
2. Je, mtu akichukuliwa msukule, anaweza kurudishwa kwenye ulimwengu unaoonekana? Na kama ndiyo anakuwa kama zamani? Na lile kanisa la Kawe ( zamani ilikuwa Ubungo maji), huduma zake zina association na mambo haya? Na hao wachawi/waganga wa kichawi wanaweza kurudisha maisha ya zamani?
Mimi nataka niulize maswali mengi,
sasa kama hujibu,nitauliza vipi?
Uchawi ni swala zima la kiimani.. mimi siamini.. so wala haunishughulishi.. simaini kama mtu anaweza kugeuka paka.. bilogical such a thing ni impossible, siami mtu anaweza akapaa na ungo.. mechanical physics + laws of gravity hazikubali.. in short i believe in riality not the Unseen magic powers
Lete habari majimoto...Samahani The Boss nilikuwa kijiji cha wachawi cha Ngende, ndani ya pori kubwa mkoani Lindi nina mengi ya kuwashirikisha, nimepita tu eneo lenye internet, bado niko vijijini.
Viper, itakushangaza sana baada ya miaka isiyozidi 10 serikali itakuja na sheria ya kutambua uwepo wa wachawi na vitendo vya kichawi wanavyofanya kwani wataanza kuumbuliwa kwa mambo yao ya kificho na kila kitu kitaonekana mchana kweupe tena hadharani.