Biashara ya Uchawi Tanzania


Kweli kula mno hupelekea kuvimbewa! Huyu jamaa kafuatalia hii thread kwa muda mrefu toka mwanzo mapaka leo na kpelekea kuvimbewa ndo maana anatapika na kujapa maneno.
 
umemaliza sisemi tena mkuu.
 

nina rafiki mmoja anatokea songea aliniambia akienda anaficha gari mjini halafu anavaa ndala kuelekea kijiji kwao,naona hata kwetu yameanza
 
umemaliza sisemi tena mkuu.

Wachaga baada ya kitambo kidogo watachukua namba ya kwanza ya wachawi wakubwa wa nchi kwa kasi wanayokuja nayo.
 
Inaonekana sasa majimoto anaibuka kwa matukio. Mbona kimya kingi?
 

:hurt:
 

kwenye hiyo red mkuu maji moto hata mimi naanza kukubaliana nawe, hasa nikifijiri hili la wauza unga na matokeo yatakayofuata, tayari mkulu wanamkumbusha kuwa orodha anayo tangu 2006 nayeye alishalitangazia taifa kuwa anayo. sasa sijui anamsubiri nani awashughulikie.

amani yetu inatumiwa vibaya.
 
MAJIMOTO
ulivyotembelea pori la ngende na ziwa nyasa ulisema utatushirikisha mambo mengi tunasubiri
 
maji moto kageuzwa na wachawi sasa amekuwa maji baridi ,aka maji poa 🙁
 
Ndevu 2 anashangaa uchawi hana dini nini? maana vitabu vyetu vya dini vimedadavua maana ya uchawi, nawakilisha
 
Ndevu 2 anashangaa uchawi hana dini nini? maana vitabu vyetu vya dini vimedadavua maana ya uchawi, nawakilisha

Mkuu egbert44, hapo kwenye red, unamwakilisha nani? Wachawi, au? Nadhani ulitaka kusema "nawasilisha". Kiswahili ni rahisi lakini pia ni kigumu. Hatima ya yote, Kiswahili ni kitamu. Mi nakipenda sana!
Nawasilisha.
 
Kwanza kuujua vizuri uchawi lazima na wewe uwe mchawi,
Majimoto should declare interest on this thread!!
 
Hii Seredi kweli inakufa taratibu, watu washayakazania mambo ya miposho!
 
Uchawi una kazi yake. Saa nyingine inabidi ujisimike wasikuondoe. Ni sehemu ya maisha wa mwafrika. Itabidi tukubali tu kuwa uchawi ndio njia ya kijilinda na ya kutingisha wengine. Mtu akikuchokoza ni lazima umshitue kidogo, au ikiwezekana umpige chini. Njia pekee ni uchawi. Ninanyanyua bango kwa wale wateja wa Babu wa Msitu wa Tembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…