MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
majimoto kafa nini? mbona haonekani?
Saint Ivuga, unapotoa siri za wachawi vita yake huwa ni kubwa siyo mchezo. Lakini ulinzi wa Mungu ni mkubwa kwangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
majimoto kafa nini? mbona haonekani?
Juzi tarehe 26/07/2011 msichana mmoja anayeishi mjini Morogoro (kwa sasa nahifadhi jina lake kwa usalama wake) alipata ugeni wa ajabu na wa kushitua sana. Yalifika mabundi wawili mchana kweupe akiwa chumbani kwake Morogoro, kilichomshitua zaidi huyo dada bundi wale walianza kuongea naye, wakamwambia tumekuja kukuchukua (kumuuwa) na yametumwa na baba yake mzazi, lakini kwa sababu tarehe yako ya kuchukuliwa bado unaweza kuendelea na shughuli zako, lakini siku hiyo ikifika tutakuchukuwa bila wewe kujua.

Yule dada baada ya kupewa hilo tangazo la kifo, aliondoka haraka kwenda Tanga kwa wataalamu (mafundi au wachawi), kumbe mdada alikuwa na mganga wake, baada ya kumweleza mkasa huo, yule mganga akamwuliza kama anaweza kumsafirisha kwenda eneo la tukio, kwani huyo dada alipoondoka mabundi bado walikuwa ndani ya chumba chake. Dada alikubali na safari ya kwenda Morogoro ikaanza asubuhi

Mganga na binti walipofika Morogoro wakakuta mabundi yameshaondoka. Mganga akapi
Wapi Majimoto??? Tumekumiss mkuu.
Majimoto,heshima mkuu,swali langu moja: Ni nani aliyerithi mikoba ya mchawi mkuu wa taifa iliyoachwa wazi na mkongwe Yahaya Hussein.
serikali ipi? serikali au ccm? fafanua.. ccm ndio wachawi wakubwaVuta subira mkuu, serikali ipo kwenye mchakato
Very interesting,nilifikiri wazungu hawagusiki na uchawi wa kiafrika?
Majimoto unajua lolote kuhusu uchawi katika jamii ya wamarekani weusi??????
Ina maana Tanzania inaizidi Nigeria kwa uchawi?

Mkuu mhondo, Nigeria wapo wachawi waliobobea katika fani ya uchawi na wanaujua uchawi, lakini idadi yao ni ndogo kuliko idadi ya waliopo nchini Tanzania kwa sasa hivi ambao hawafahamiki sana. Nchini Nigeria mtu akiwa mchawi anakuwa mchawi kweli kweli, na mtu akiwa kiongozi wa dini anakuwa ni mtu mahiri kwelikweli kwenye dini, ndiyo maana watu wanasema watumishi wa Mungu nchini Nigeria wanatumia nguvu za giza, siyo kweli.

majimoto kwa nini jk namuona anakalia kiti kile kile kila siku ?
Wengi wao wanaamini uchawi unaoitwa American VOODOO! YANI WANAABUDU ZAIDI MABABU ZAO WALIOKUFA.Very interesting,nilifikiri wazungu hawagusiki na uchawi wa kiafrika?
Majimoto unajua lolote kuhusu uchawi katika jamii ya wamarekani weusi??????

Majimoto,kweli Tanzania iko juu kwa uchawi kuliko nigeria? mbona tunasikia mara fulani kaenda nigeria kuchukua uchawi kwa nn wasichukue hapa hapa na je wapo wa naigeria wanaokuja kuchukua hayo maujanja hapa TZ?

Tanzania yapo malango saba ya kuzimu (soma topic zangu za nyuma) na kila lango lina kiongozi wake na wasaidizi (majini) kumi na wawili yanayoratibu mbinu mbalimbali za ulozi hapa nchini. Nguvu zote za ulozi hupatikana kuzimu na kamwe siyo Nigeria.