Biashara ya Uchawi Tanzania


Okaoni, unachosema nakubaliana nacho kabisaaaa!! Ila hii case ni tofauti kidogo maana hao naowazungumzia na nawajua na kazi zao za 'kuharibu' mawasiliano ya watu na Mungu kwenye mahubiri au maombi. Na hii najua kwani niko katika kikundi cha maombi na huko tunakutanaga na vituko kwa kweli maana wankuja watu 'watakatifu' kweli kumbe ma-agent na 'wananena' ila ukiwaangalia wanajificha usione wananenaje maana wananena vya kwao ili kupunguza makali ya maombi. Pindi ukiwashtukia na kuanza kupambana nao wanapoteza network na kuwa kama hawajui wanafanya nini wanabakia kushangaa tu. At least hao tunawajua sasa kuna wale ambao hawajulikani na watu wengi hawajui kama kuna vitu kama hivi. Unamkaribisha 'mtumishi' nyumbani kwako kumbe anakuja kukushindilia majini/pepo....
 
poa mtumishi endeleza maombi hayo madude kweli yapo kwenye mwanga giza hujitenga ila uwe makinina hizo element za manabii wa uongo kama utazigundua.
 
poa mtumishi endeleza maombi hayo madude kweli yapo kwenye mwanga giza hujitenga ila uwe makinina hizo element za manabii wa uongo kama utazigundua.

Amen mtumishi... Na baadhi yao tunawaona kwa televisheni badala ya kuhubiri kuhusu upendo wao ni kujisifu na kuponda wengine yani utawajua tuu Mungu atusaidie kwa kweli maana ni wengi huko mitaani. Wanajisifu wanatoa pepo etc wakati Yesu ndiye anayetoa na kutetea Jina lake..
 

According to ur story...kila cku nashiriki.
 

Kama damu mkali ndio wanamchezea,mwisho wanakulaga mambo ye2 yale.
 

Wewe umekosea..MAINI siyo 3,000,maini ni 5500.Steki ndio 3000.
 
Mkuu Majimoto,
Heshima mbele.
Mimi ni kijana Mtz, naishi huku ughaibuni. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mada zako. Labda niseme tu kwa ufupi kwamba ninalo TATIZO. Ninacho Kuomba ni Hiki: Nitakuwa likozo nyumbani Tz katikati ya mwezi May - Mwanzoni mwezi June. P'lz naomba unielekeze jinsi ya kukutana na wewe
 
......Ili tuliangalie na kulijadili KUBWA hili hili linalonisibu.
Natanguliza Shukrani.
 
Unajua ni kudharau asilia tuu!
Ivi hawa ambao wana uwezo wa kuleta mvua tukiwatumia kujaza mtera kuna issue!
Au wale waliokuwa wanabea watu toka Tunduma kwenda DSM kwa gharama nafuu,mda mfupi and environment friendly means of transport!
 

Karibu nyumbani, nitafute ukifika.
 
According to Majimoto kuwa vijana wengi siku hizi hawafi ila wanachuliwa na wachawi kwenda kuzimu,especially wale wenye vipaji na elimu ......so Kanumba death might fit in this sceanario,au sio?
 
According to Majimoto kuwa vijana wengi siku hizi hawafi ila wanachuliwa na wachawi kwenda kuzimu,especially wale wenye vipaji na elimu ......so Kanumba death might fit in this sceanario,au sio?

Haiwezekani jitu na maguvu yake asukumwe na kabinti ka miaka 18 aanguke na apoteze maisha, haiwezekani.... kilichokuwa kinatafutwa ni iwepo sababu ya aina yeyote ya kuhalalisha kifo chake.....
 
hivi maji moto unahushudua ama kitabu ningependa kujua.

and pia kuna tofauti ya uluminate na freemasons?

asante btw nimekuwa nikifwatilia sana na pia vipi kuhusu weaving au rasta zinawza kuwa na roho?
 

dah mimi pia huwa natokewa na scenario kama hii 100% msaada plse majimoto
 
dah mimi pia huwa natokewa na scenario kama hii 100% msaada plse majimoto

bibliography siyo kuwa unahisi unavyamiwa, ni kweli kabisa unavamiwa na wachawi wameshakufanya uwanja wao wa kufanyia mazoezi ya ulozi, ndiyo maana asubuhi unaamka mchovu, na baadhi ya viungo vya mwili wako vikiwa vinauma.
 
Mkuu hiyo namba nne kuna siri gani hapo? Mbona viongozi sijawaona hapo maana nasikia nao ni wateja wakubwa wa uchawi.

Huyu ni mwanafunzi wa kidato cha tatu, unajua f3 hudharau sana f2. Alafu ama atakuwa ni mchawi kutokea Sumbawanga au Katavi kama si Simiyu.
 
huku mtaani kwetu watu wananong,ona kuwa marehemu Kanumba ametolewa kafara ya ki free masons na safari zake za marekani zinahusishwa na huko eti amekosea masharti, je inaweza kuwa kweli mkuu maji moto?
 
hivi maji moto unahushudua ama kitabu ningependa kujua.

and pia kuna tofauti ya uluminate na freemasons?

asante btw nimekuwa nikifwatilia sana na pia vipi kuhusu weaving au rasta zinawza kuwa na roho?

Hakuna tofauti wote ni mawakala wa shetani, tofauti ni utendaji wa kazi zao, freemasons ni wachawi wanaofanya kazi ya uchawi wakiwa kwenye mazingira ya kisasa, wana ofisi nzuri wanatumia vifaa vya kisasa kabisa kiasi kwamba siyo rahisi kuwatambua na huwa ulozi wao siyo wa wivu wivu kama wachawi wa mlingotini wanaologa mtu aliyejenga nyumba ya bati. Wao hushughulika na jinsi ya kupata mali, kujenga viwanda, kujenga majumba, kulima mashamba makubwa kwa msaada wa kuzimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…