Elisha Ray
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 323
- 94
Ha!! Ndugu nyangu makanisa mengi yenye theology ya kimarekani na kinaigeria Ushuhuda unaotolewa na usanii na wanatumia ujanja kama wasanii wenzao anina Manjaunjau wa kula dili na mtu wa mbali na eneo husika na baadae kujifanya wamemtengua akiwa mkwenye safari za kichawi au kuficha madude sehemu na baadaye kusema kuwa wametegua uchawi. basi mbinu hiyo hutumiwa na makanisa hayo "mutatis mutandis'ukiona kanisa lolote limeweka ushuhuda kuwa ni sehemu muhimu ya ibada yao kimbia ufe hapo hakuna kitu ni usanii na wanafanya mazingaumbe ili wapate wateja.Hii abari ya uhuhuda sijui inatoka wapi maana miujiza original ya Yesu ilikuwa haina mabango.hata baada ya kuwaponya wale wakomo 10 aliwakataza wasitangaza. Muumini wa kizazi cha leo uwe makini usije ukawa unahudhuria kenye makanisa unasali,unaimba,unatoa sadaka na zaka ukadhani zinaenda kwa Mungu kumbe zinapinda kwenda kwa shetani kwa sababu ibada na miujiza inayofanyika ni ya nguvu za ibilisi'."CAVIAT EMPTUR'
Okaoni, unachosema nakubaliana nacho kabisaaaa!! Ila hii case ni tofauti kidogo maana hao naowazungumzia na nawajua na kazi zao za 'kuharibu' mawasiliano ya watu na Mungu kwenye mahubiri au maombi. Na hii najua kwani niko katika kikundi cha maombi na huko tunakutanaga na vituko kwa kweli maana wankuja watu 'watakatifu' kweli kumbe ma-agent na 'wananena' ila ukiwaangalia wanajificha usione wananenaje maana wananena vya kwao ili kupunguza makali ya maombi. Pindi ukiwashtukia na kuanza kupambana nao wanapoteza network na kuwa kama hawajui wanafanya nini wanabakia kushangaa tu. At least hao tunawajua sasa kuna wale ambao hawajulikani na watu wengi hawajui kama kuna vitu kama hivi. Unamkaribisha 'mtumishi' nyumbani kwako kumbe anakuja kukushindilia majini/pepo....