Ilonga Msalabani
Senior Member
- Nov 23, 2012
- 111
- 36
Acha kumzushia Mwalimu vitu vya uongo wewe unahakika na unachoandika?
Huamini kaa hivyo hivyo. Uongo, unaujua wewe... Ningetegemea uanze kwa kuuliza kuuutafuta ukweli. Unaanza na kupinga, kaa hivyo hivyo...
Naona umeamua kuanzisha Lijikiwanda la uongo humu JF
Umeonaeee!!
scientific ideas goes with proved data,kama hazipo you have no right to speak
But these are not scientific ideas.
Ofcourse these are not scientific ideas. People have options either take note and and find out for yourselves or leave it...
Watu wa mambo ya FAITHs whether ni religious or witches wote ni wale wale! I have choosen to remain in science where I believe what can be proved in one way or another! Haya mambo ya Imani haya kwa vile ni ya kufikirika sana kunawatu wanatupiga bao sana! Kuna uongo mwingi sana umeshapandikizwa hapa duniani kupitia hizi Imani za kichawi na za kidini! Mimi ninamacho yangu na senses zangu sitategemea masikio peke yake bila kushirikisha senses zingine kukubali kuwa hili lipo au halipo! Napita tu hapa niliona thread nikasema nichungulie. Byeeee
uchawi upo dunia kama huamini nenda kibaha maili moja kafungue biashara yoyote pale kama utafanikiwa kwani kuna kabila linaitwa wagweno balaa,kibaha nzima wanafanya biashara wao ukienda mtu mwingine hufanyi biashara
kumbe nyerere ndio alikuwa chanzo cha haya yote ...
Watu wa mambo ya FAITHs whether ni religious or witches wote ni wale wale! I have choosen to remain in science where I believe what can be proved in one way or another! Haya mambo ya Imani haya kwa vile ni ya kufikirika sana kunawatu wanatupiga bao sana! Kuna uongo mwingi sana umeshapandikizwa hapa duniani kupitia hizi Imani za kichawi na za kidini! Mimi ninamacho yangu na senses zangu sitategemea masikio peke yake bila kushirikisha senses zingine kukubali kuwa hili lipo au halipo! Napita tu hapa niliona thread nikasema nichungulie. Byeeee
Mkuu are you an Atheist?
Sasa hivi zipo shule kabisa za kufundisha uchawi nchini Tanzania, Shule moja ipo Temeke masomo yake huchukua miaka saba hadi unahitimu.
Ukimaliza Temeke, unaweza kujiunga na elimu ya juu katika fani ya uchawi, chuo kipo Tanga hapo wanatoa digrii ya kwanza ya uchawi kwa miaka mitano.
Wanatoa pia digrii ya pili ya elimu ya ulozi ambapo utakaa darasani kwa miaka mingine mitano.
Master digrii ya ulozi, bado hapa nchini hakuna chuo, inapidi uende Mombasa nchini Kenya ndipo kilipo chuo kikuu cha elimu ya ulozi.
Wanasiasa umewasahau???go ask zitto kabwe