Iweje mikoa ambayo ndiyo maarufu kwa uchawi isiwe na wateja wengi wa uchawi? Au kila mtu katika mikoa hiyo ni gwiji la uchawi? Kilimanjaro na Kagera ni mikoa inayoaminika kuwa na watu ambao wamepevuka kidunia (wasomi). Na mtu msomi, kama ni msomi kweli, hawezi kuyapa kipaumbele mambo ya uchawi. Anatumia ubunifu, maarifa, bidii na uzoefu. By definition uchawi ni primitiveness. Tupe ushahidi wa uteja wa mikoa hiyo miwili.
Chuki imeingiaje sasa hapo!!??Hivi uchawi ndio nini?
Au ni nadharia za chuki tu?
Mbona uchawi hautaji mafanikio kwa wema.
Nikutaja uchawi kwa chuki hata kama mtu amefanikiwa utasikia mchawi huyo!
Mara mwanga huyo!
Mshirikina huyo!
Kama mtu amefanikiwa tatizo liko wapi jaman?
Nipeni ufafanuzi mnanitisha saaaaanaaaa!!!
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza
Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida
Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera
Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
Lakini jamani haya ma nguvu ya giza inasemekana yanakuwa na expire date ,kila mara unatakiwa kurenew
Kwanini Kuishi kwa mashaka namna hii?
Hawa wanaofata utajiri wa biashara na mengineyo
Mbona asilimia kubwa ya waganga ni maskini ambao nyumba wanazoishi hazielezeki?
Au ndio mashariti yao hayo?
Husninyo usithubutu hii makitu,,utapotea :sleepy:
Mbona watu wanaamini uchawi ni mbaya halafu tena maendeleo nyuma, swali langu mbona matajiri, viongozi wakubwa waserikali na dini tunaaminishwa kuwa niwachawi? Hivi lipi ni jibu sahihi juu ya uchawi (a) mbaya (b) mzuri?. ( )
Wacheza mpira huu wa kibongo inakuwaje?
Mikutano ya wachawi huwa inafanyika mara nyingi sana,ambayo hukutanisha wachawi wa bara la Afrika au vikao vya wachawi wa Afrika Mashariki, dalili mojawapo ya kuwepo kwa mkutano, au mashindano ya wachawi ni wingi wa ajali zinazotokea eneo la mkutano, kwani vikao vya wachawi kinywaji kinachotumika kwenye mikutano yao ni damu za watu.
kigoma ilikua zamani kuna kijiji nliambiwa kinaitwa Makere-ushingo-wilaya ya Kibondo. .... unanunua radi na majaribio wayafanya hapo hapo....