Biashara ya Uchawi Tanzania

Biashara ya Uchawi Tanzania

Muongo Kilimanjaro hakuna uchawi...Kuna ubabe tuu wa kudundana


Iweje mikoa ambayo ndiyo maarufu kwa uchawi isiwe na wateja wengi wa uchawi? Au kila mtu katika mikoa hiyo ni gwiji la uchawi? Kilimanjaro na Kagera ni mikoa inayoaminika kuwa na watu ambao wamepevuka kidunia (wasomi). Na mtu msomi, kama ni msomi kweli, hawezi kuyapa kipaumbele mambo ya uchawi. Anatumia ubunifu, maarifa, bidii na uzoefu. By definition uchawi ni primitiveness. Tupe ushahidi wa uteja wa mikoa hiyo miwili.
 
Kama ni maswala ya uchawi bhasi Tanzania nzima Wapo wachawi na inategemea na mahitaji na fikra za wanao hitaji.
 
Hivi uchawi ndio nini?
Au ni nadharia za chuki tu?
Mbona uchawi hautaji mafanikio kwa wema.
Nikutaja uchawi kwa chuki hata kama mtu amefanikiwa utasikia mchawi huyo!
Mara mwanga huyo!
Mshirikina huyo!
Kama mtu amefanikiwa tatizo liko wapi jaman?
Nipeni ufafanuzi mnanitisha saaaaanaaaa!!!
Chuki imeingiaje sasa hapo!!??
 
Lakini jamani haya ma nguvu ya giza inasemekana yanakuwa na expire date ,kila mara unatakiwa kurenew

Kwanini Kuishi kwa mashaka namna hii?

Hawa wanaofata utajiri wa biashara na mengineyo

Mbona asilimia kubwa ya waganga ni maskini ambao nyumba wanazoishi hazielezeki?

Au ndio mashariti yao hayo?
Husninyo usithubutu hii makitu,,utapotea :sleepy:
 
Last edited by a moderator:
uchawi ni km umeme km ukiunga waya na kuuvuta kwa kwa hiari lazima upate na kuhangaika nao kila cku
 
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.

Duh! Wabongo kiboko
CC: Geza Ulole kadoda11 Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Duh! Wabongo kiboko
CC: Geza Ulole kadoda11 Bulldog

hahaha nimeishia kucheka niliposoma hii topic.i wonder why Majimoto never mentioned kenyans particulary kikuyus as one of our dearly customers from a neighbouring country.i'm told most of the successful kikuyu entrepreneurs use "uchawi" from tz to sustain their businesses.

cousin zenu wachaga ndio wanaongoza orodha ya wateja wanaonunua na wanaotumia sana uchawi ktk biashara hapa bongo.lol
 
Last edited by a moderator:
Mbona watu wanaamini uchawi ni mbaya halafu tena maendeleo nyuma, swali langu mbona matajiri, viongozi wakubwa waserikali na dini tunaaminishwa kuwa niwachawi? Hivi lipi ni jibu sahihi juu ya uchawi (a) mbaya (b) mzuri?. ( )
 
Lakini jamani haya ma nguvu ya giza inasemekana yanakuwa na expire date ,kila mara unatakiwa kurenew

Kwanini Kuishi kwa mashaka namna hii?

Hawa wanaofata utajiri wa biashara na mengineyo

Mbona asilimia kubwa ya waganga ni maskini ambao nyumba wanazoishi hazielezeki?

Au ndio mashariti yao hayo?
Husninyo usithubutu hii makitu,,utapotea :sleepy:

Ha ha ha haah,,,,,,my dear Husninyo pita hapa tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Mbona watu wanaamini uchawi ni mbaya halafu tena maendeleo nyuma, swali langu mbona matajiri, viongozi wakubwa waserikali na dini tunaaminishwa kuwa niwachawi? Hivi lipi ni jibu sahihi juu ya uchawi (a) mbaya (b) mzuri?. ( )

Hakuna uchawi mzuri ndugu yangu, japo hakuna ushahidi usio na mashaka hata hao wenye mafanikio kupitia uchawi inasemekana watatoa kafara za damu.
 
Mimi napinga hii orodha yako! Shinyanga hatumo? Haiwezekani! Hao wengine umewapendelea Mkuu!
 
orodha yako ya wateja siyo ya kweli niwazi wateja namba MOJA wa uCHAWI ni VIONGOZI (wanasiasa) wakufuatiwa na wafanyabiashara hao wengine ni kidogo sana
 
Mikutano ya wachawi huwa inafanyika mara nyingi sana,ambayo hukutanisha wachawi wa bara la Afrika au vikao vya wachawi wa Afrika Mashariki, dalili mojawapo ya kuwepo kwa mkutano, au mashindano ya wachawi ni wingi wa ajali zinazotokea eneo la mkutano, kwani vikao vya wachawi kinywaji kinachotumika kwenye mikutano yao ni damu za watu.

Kwa hyo una maanisha ajali zilizotokea na zinaendelea kutokea Singida eneo la ikungi kuna dalili ya kuwepo kikao cha wachawi
 
kigoma ilikua zamani kuna kijiji nliambiwa kinaitwa Makere-ushingo-wilaya ya Kibondo. .... unanunua radi na majaribio wayafanya hapo hapo....

No, Makere iko kasulu kigoma siyo kibondo!kule aina yoyote ya uchawi huuzwa kwa mafungu kama nyanya, mihogo au bidhaa zingine. Ukitaka wa shilingi 50, 100 hadi milioni unapata.
 
Back
Top Bottom