illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 699
Muongo Kilimanjaro hakuna uchawi...Kuna ubabe tuu wa kudundana
Iweje mikoa ambayo ndiyo maarufu kwa uchawi isiwe na wateja wengi wa uchawi? Au kila mtu katika mikoa hiyo ni gwiji la uchawi? Kilimanjaro na Kagera ni mikoa inayoaminika kuwa na watu ambao wamepevuka kidunia (wasomi). Na mtu msomi, kama ni msomi kweli, hawezi kuyapa kipaumbele mambo ya uchawi. Anatumia ubunifu, maarifa, bidii na uzoefu. By definition uchawi ni primitiveness. Tupe ushahidi wa uteja wa mikoa hiyo miwili.