Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza
Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida
Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera
Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
Mkuu, nimeona nikusahihishe kidogo juu ya uchawi hapa Tanzania kwani kwa bahati nzuri nimeishi kwenye hii mikoa yote uliyoitaja na kushuhudia usanii wa hiyo mikoa kwa kina. Ni Hivi bsi.
1. Rukwa - inasadikika, shetani anaishi kule....yote yasiyowezekana duniani kule yanawezekana Mh. Pinda anayajuwa haya,
2. Kigoma - shetani analala Rukwa ila asubuhi anashinda ziwani Kigoma akivua dagaa
3. Mbeya - wanaabudu sana misukule
4. Tanga - misukule, kafara, vitabu, majini
5. Pwani - sawa na Tanga ila wanatofautiana kwenye ukatili tu
6. Morogoro - wanadai shetani alipokimbizwa alipitia huku kwanza na akawa anaishi kule milimani
7. Tabora - makafara ya nguvu, utekaji albino kwa kuwatumia kiuchawi na ni mkoa ulio na vichaa wengi wa kurogwa hapa TZ
8. Mwanza - Makafara ya maalbino, kufanya shopping chini ya ziwa, mto, kufanyisha fisi kazi za mashambani na kuchota maji
9. Iringa - makafara ya viungo vya binadamu, kula na nyoka, kutumia mbegu za nafaka kwa kujiletea utajiri wa utata
0. Lindi - wamaraba wanadai huwezi kuishi kitoto, maana kwamba lazima uwe na majini ili wakufanyie kazi na kukuletea hela, wewe unakaa tu na kucheza bao na kupaka hina kwenye ndevu kumaanisha wewe ni mkongwe wa gemu.
Hapa Dar Es salaam uchawi upo ila si wa kutisha kama hii mikoa hapo juu. Kwa tafiti zangu wateja wakubwa wa uchawi ni viongozi wa serikali kuanzia rais, wabunge, mawaziri, na viongozi wengine kwenye sekta/idara za serikali na hata zile za umma, wasanii haswa toka Kigoma na Tanga, wachezaji mpira, na wafanya biashara, pamoja na kina Mama haswa wa Mkoa wa Kilimanjaro a.k.a. majinamizi ya talaka.