Biashara ya Uchawi Tanzania

Biashara ya Uchawi Tanzania

Nimesoma comment ya tatu za mwisho na za kwangu mbili zikiwa ndani ya hizo tatu na main post tu(topic)
 
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.

Nivyema kuheshimu tafiti za watu kwa kuweka references au source ya post yako:

Najua pana huyu hivi sasa no Mtumishi was Mungu ila kabla alikuwa ni Mchawi balaa tena bingwa wa kusafiri anaitwa Shekhe Omari M. Mwaimu!
 
Safi,
lakini pia ni vema kufanya spiritual research, find if God truly lives, go through the scriptures of the bible and apply them in your life and see what happens. Ask God to guide you, i believe you will have fantastic answers. I once used to have the same mind set as i advanced my level of education and understanding, but finally i came to realize that God is real and truly lives and that he is God of wonders by grace of the Lord Jesus. Presence of witch craft and witch doctor bangos in town gives a clue on what is going on behind the scenes in our towns. Use the Bible, songs praise and worship God and pray tell him that you have doubts about his presence let him reveal himself to you use Jeremiah 33:3. He will surely come. Otherwise you will never know what you should have known before that day when Jesus comes again. Thanks and be Blessed.

Wengine wanajifanya kupinga kumbe ni wachawi wakubwa wanafanya hivyo ili kupumbaza wengine wasifunguke macho....MUNGU yupo na uchawi upo na kutokuamini kwamba MUNGU yupo au uchawi upo hakuwezi kuondoa huu ukweli
 
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.


Mkuu, nimeona nikusahihishe kidogo juu ya uchawi hapa Tanzania kwani kwa bahati nzuri nimeishi kwenye hii mikoa yote uliyoitaja na kushuhudia usanii wa hiyo mikoa kwa kina. Ni Hivi bsi.
1. Rukwa - inasadikika, shetani anaishi kule....yote yasiyowezekana duniani kule yanawezekana Mh. Pinda anayajuwa haya,
2. Kigoma - shetani analala Rukwa ila asubuhi anashinda ziwani Kigoma akivua dagaa
3. Mbeya - wanaabudu sana misukule
4. Tanga - misukule, kafara, vitabu, majini
5. Pwani - sawa na Tanga ila wanatofautiana kwenye ukatili tu
6. Morogoro - wanadai shetani alipokimbizwa alipitia huku kwanza na akawa anaishi kule milimani
7. Tabora - makafara ya nguvu, utekaji albino kwa kuwatumia kiuchawi na ni mkoa ulio na vichaa wengi wa kurogwa hapa TZ
8. Mwanza - Makafara ya maalbino, kufanya shopping chini ya ziwa, mto, kufanyisha fisi kazi za mashambani na kuchota maji
9. Iringa - makafara ya viungo vya binadamu, kula na nyoka, kutumia mbegu za nafaka kwa kujiletea utajiri wa utata
0. Lindi - wamaraba wanadai huwezi kuishi kitoto, maana kwamba lazima uwe na majini ili wakufanyie kazi na kukuletea hela, wewe unakaa tu na kucheza bao na kupaka hina kwenye ndevu kumaanisha wewe ni mkongwe wa gemu.

Hapa Dar Es salaam uchawi upo ila si wa kutisha kama hii mikoa hapo juu. Kwa tafiti zangu wateja wakubwa wa uchawi ni viongozi wa serikali kuanzia rais, wabunge, mawaziri, na viongozi wengine kwenye sekta/idara za serikali na hata zile za umma, wasanii haswa toka Kigoma na Tanga, wachezaji mpira, na wafanya biashara, pamoja na kina Mama haswa wa Mkoa wa Kilimanjaro a.k.a. majinamizi ya talaka.
 
...pale linapoishia Ziwa Tanganyika Kusini, kuna sehemu yaitwa kachala. Radi zinauzwa kuanzia Buku, Buku - jero
ukipata radi ya sh 5000/- jiangalie sana maangamizi yake. lakini sharti lake ukishabeba hiyo radi, limewashinda wengi sana. unaambiwa usikojoe popote mpaka utakapoitega hiyo radi njiani....Hata yule Golikipa wa timu ile pale..huwa anatembelea sana pale Ziwa Tanganyika...
Utamaduni wa mwafrika udumu!!

Ha ha ha sasa radi la milioni moja litakuwaje c kama bomu la nyuklia.
 
Mkuu, hiyo namba nne umesema wateja wakuu wa uchawi na wanafunzi wa Sekondari kidato cha pili wapo sasa kwanini wawe wao na sio wanafunzi wengine hasa wa vidato vingine wa vyuo vikuu? na hao wanafunzi wengi wa kidato cha pili ambao umesema ni wateja wakuu wa uchawi wao wanatokea mikoa ipi na sehemu gani?


Mi mwenyewe hata siamini kama wanafunzi wa kidato cha pili wanaweza kuwa wateja wakubwa wa uchawii...
 
Mi mwenyewe hata siamini kama wanafunzi wa kidato cha pili wanaweza kuwa wateja wakubwa wa uchawii...
Mkuhapa Kwawanafunzi Sio Kweli Umewapakazia Au Nawewe Ulishawahi Wakati Uko Kidato Chapili?
 
Mbona simuoni Diamond Platinum Beibi. Maana Jamaa kwa uchawi hajambo. Ila Hongera sana Dogo kama ni uchawi Basi unakulipa haswaaa.
 
kabla ya kwenda mbali utafiti wako hauna validity wala reliability, standards gani umetumia kupata mara mikoa 3, mara 4, mara 7. Ebu weka haya sawa kwanza
 
Hi,you are really welcome to the first AFRICA-CHINA business community BAA! baa.chinaworldbuz.com GRAB YOUR ANSWER; GET MORE OPPORTUNITIES;SHOW YOUR PERSONALITY
 
Mchawi ni maarifa(ujuzi)yoyote ambayo ni amaizing kwa wengine ila unatofautiana mifumo tu ya utendaji kazi wake.
Uchawi umegawanyika katika mifumo ifuatayo

1.UCHAWI UNAOHUSISHA IMANI
2.UCHAWI USIOHUSISHA IMANI

Kila mfumo unacategories zake,kama unaelemu ya makaratasi itumie kujiuliza uchawi huo ni upi ila mimi ninatofasili zangu kuhusu uchawi nadhani nikotofauti na wengine
 
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.

Sijawahi Ona research mbovu kama hii!!
 
Uchawi upo na wachawi wa kukata na shoka wapo, tofauti ni jinsi ya utendeji kazi, ulaya wanavaa suti, wanatumia ofisi zenye vitendea kazi vya kisasa, kama freemasons, Tanzania uchawi unafanyika kwenye mikeka ndani ya vibanda vya nyasi, tunaloga kila kitu, hadi mpapai.


Haaaahaaaahaah hii kiboko "Tunaloga hadi mpapai" tuseme kuwa kichaa amekabidhiwa rungu.
 
Utasemaje Tanga ina nguvu kubwa ya kichawi halafu kwenye kipengele cha uchawi kila kaya haipo hata kwenye 5 bora?
 
Tano born yangu mzee
1.Sumbawanga
2.mbeya
3.Arusha
4.Mara
5.kilimanjaro
 
Back
Top Bottom