MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Nchi ya Japan ni mojawapo ya mataifa yanayoongoza duniani kwa maendeleo.
Wajapan wanazo dini kuu mbili ambazo ni Shinto na Buddha, asili ya dini ya Shinto haijulikani sana lakini imekuwepo nchini Japan kuanzia miaka 400 kabla ya Kristo. Buddha iliingia nchini Japan mwaka 538 ikitokea China, Wajapan wengi hawakuipokea hii dini hadi mwaka 587 wakati ufalme wa Mononobe uliposambaratishwa kwa kipigo, walikuwa ni wapinzani wakubwa wa dini ya Buddha, kuanzia kipindi hicho dini hiyo ilienea kwa kasi ya ajabu.
Baada ya karine mbili Mfalme Shomu's aliamuru ujenzi wa nyumba ya ibada ya Todaj-ji ijengwe kuanzia mwaka 752. Ni jengo kubwa la mbao duniani likiwa na urefu wa mita kumi na tatu, ndani yake waliweka sanamu ya shaba ya Buddha, baadaye ilibadilishwa na kuitwa The Great Sun Buddha au Dainichi Nyorai, Dainichi Nyorai wana uhusiano na Amaterasu na Shinto Sun Goddess.
Asili ya Japan ni nchi inayokumbwa na matetemeko makubwa ya ardhi ambayo yamekuwa yakisababisha maafa makubwa kwa raia wa Japan, kupitia dini zao kuu mbili Shinto na Buddha, ambazo asili yake ni kuzimu, waliazimia kuwa kila familia ya Kijapan ni lazima watoe Yen 3,000 kila mwezi kama sadaka kwa mizimu, kuwalinda na matetemeko ya ardhi yanayowakumba mara kwa mara.
Sadaka hiyo inapokusanywa hupelekwa kwenye hekalu lao la Todaj-ji, na watu wenye miili kabisa kutoka kuzimu hufika ndani ya hekalu hilo na kuchukua magunia kwa magunia yalijaa pesa za Yen, na kupeleka kuzimu. Inapotokea maafa kama haya ya jana, Mabuddha huanza ibada zao za kishetani na mizimu iliyovaa miili ya binadamu hufika na kuwaeleza ni kwa nini wameadhibiwa.
Kimsingi malalamiko ya mizimu wanapinga kuanza kuenea kwa dini nyingine zisizoamini mizimu katika taifa lao, ambao wanaona ni tishio kwa uchumi wa taifa la kuzimu kimapato, endapo Wajapan wataacha dini zao za Buddha na Shinto.