John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,342
Mweh..!!!
ntaanza na wewe hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweh..!!!
Ahahahahaaaah!!!ntaanza na wewe hapo
Dada kabla ya Majimoto kuja na jibu lake, kuna baadhi ya hospitali hasa za binafsi zimegeuza akina mama wanaotaka kujifungua kuwa mtaji kwani wakimfanyia upasuaji analipa pesa zaidi. Dar kuna hospitali moja kubwa iko maeneo ya Mikocheni ina huo mtindo.
Nami naomba unipm jinsi ya kukata kamba za kuzimu.Ahsante.
majimoto
hebu tuambie msimamo wako
je waislam wachawi?
vipi kuhusu ule mbuyu pale kenyatta drive?
Na iwe hivyo kuanzia sasa kama ulivyoomba.
Utakuwa na wageni usiku wa leo.
MKUU! Hv unauliza Waislamu ni wachawi wakati ndiyo wanagawa A to Z ama hauna habari hiyo? Habarika Mkuu. Mi nataka kujua juu ya huo mnara wa Kenyatta,Je? Ina nini? Jibu kw anayejua kwa undani kidogo WanaJF.majimoto
hebu tuambie msimamo wako
je waislam wachawi?
vipi kuhusu ule mbuyu pale kenyatta drive?
Ndevu mbili,
Siyo kweli kabisa kuwa kila mafanikio ya mtu husababishwa na uchawi, mafanikio ya mtu ni bidii yake mwenyewe, jinsi anavyojituma na kumtegemea Mwenyenzi Mungu. Hakuna tatizo lolote kuhusiana na mafanikio ya mtu.
Isipokuwa yapo mafanikio ya watu yenye utata, ambayo yanaambata na nguvu za shetani. Mkoa wa Lindi ambao ndio wa pili wenye wachawi wakubwa nchini, ukienda kwa hawa jamaa wanaojiita wataalamu, ni lazima utembee kwa miguu kwa siku tatu ndipo ufike walipo. Wao wanagawa utajiri, lakini masharti yao ni lazima uwape mke, mtoto au mzazi wako, au utakuta ndani ya familia hiyo kuna mtoto ambaye ni zezeta au taahira, na watoto wa namna hii ukiondoa nguvu ya uchawi uliwekwa ndani yao wanapona na wanakuwa sawasawa kabisa, kama watoto wengine.(Wapo watoto wanazaliwa na utaahira na wapo wanao pewa utaahira wa kupata mali unaosababishwa na wazazi au walezi wao hawa wa kundi la pili ndio ninawazungumzia)
Sasa hivi kidogo wamelegeza masharti, wao watakupa mali nyingi sana kwa mkataba wa miaka mitatu au mitano, muda huo ukifika ni lazima, ni lazima tu utakufa, warithi wa mali zako zenye mikataba ya kifo, nao wakimaliza miaka hiyo nao wanakufa.
Star TV wadau.......mambo aliyoandika Majimoto yanasimuliwa LIVE!!!
Star TV wadau.......mambo aliyoandika Majimoto yanasimuliwa LIVE!!!