Biashara ya Uchawi Tanzania

Biashara ya Uchawi Tanzania

Majimoto sema basi kama umeshamaliza ili tujiandae na graduation kwa elimu hii.
 
Majimoto sema basi kama umeshamaliza ili tujiandae na graduation kwa elimu hii.

Mkuu, maelezo yaliyoko hapa ni muhistasari tu, mfano tunapozungumza aina moja ya jini, maelezo yake yanajaza kitabu kizima kisichopungua kurasa mia. Unatakiwa ujue jinsi yanavyoitwa na yanakuja, jinsi yanavyotumwa kufanya uharibifu na jinsi ya kupambana nayo. Unatakiwa ujue kwa nini majini yanashindwa kabisa kuwafikia baadhi ya watu.
 
Sasa hivi zipo shule kabisa za kufundisha uchawi nchini Tanzania, Shule moja ipo Temeke masomo yake huchukua miaka saba hadi unahitimu.

Ukimaliza Temeke, unaweza kujiunga na elimu ya juu katika fani ya uchawi, chuo kipo Tanga hapo wanatoa digrii ya kwanza ya uchawi kwa miaka mitano.

Wanatoa pia digrii ya pili ya elimu ya ulozi ambapo utakaa darasani kwa miaka mingine mitano.

Master digrii ya ulozi, bado hapa nchini hakuna chuo, inapidi uende Mombasa nchini Kenya ndipo kilipo chuo kikuu cha elimu ya ulozi.

And how do you get all these detailed information?
 
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.

wee una uhakika kuhusu wachaga?sasa nikienda moshi suzuki ntapaki wapi?
 
Aliyekuwa mchawi mkuu wa serikali ya Tanganyika na baadaye kubadilishwa jina na kuitwa Tanzania Yahaya Huseini amefariki dunia leo tarehe 20 Mai 2011.

Yahya aliingizwa kwenye system ya nchi na Waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya Tanganyika marehemu Julius Kambarage Nyerere, baada ya kushauriwa na waganga wa kishenzi wa Bagamoyo, kabla ya kupata uhuru wa Tanganyika. Siku hiyo Nyerere alizuru lango kuu la kuzimu la Zazuni, Bagamoyo alipokwenda kufanyiwa uganga. Yahaya alikuwa bado kijana mdogo aliyependwa sana na viongozi wake, na alikuwa na kipaji kikubwa cha mambo ya unajimu na ulozi. Yahaya akiwa ndani ya ikulu ya Dar es Salaam, alitengeneza jini aliloligeuza umbo na kuwa fimbo, Yahaya kwa msaada ya lango la kuzimu la Mustallah waliomba watengenezewe saa ya kijini pia ambayo, kama kuna jambo lisilokuwa la kawaida saa ilikuwa inabadilika rangi kwa ndani na kuwa nyekundu.

Nyerere ambaye kwa asili yake ya kabila la Kizanaki, ushirikina ni jambo la kawaida na mara nyingi alikuwa akihudhuria matambiko yote yaliyokuwa yakifanyika kijijini kwake. Jina la Kambarage ni jina la mzimu wa mvua, marehemu ndiye alikuwa kiongozi wa mzimu huo, na ndiyo maana aliamua aitwe jina la muzimu huo wa mvua, KAMBARAGE.

Yahaya akitumia ujuzi wake wa unajimu wa kuchukuwa kichawi nyota za watu zenye vipawa vikubwa, alimsaidia sana Nyerere, baada ya kumpatia nyota ya utawala, kuongea kwa ufasaha na mvuto. Kwa kawaida kipawa chochote kutoka kwa Mwenyezi Mungu hasa kwa kiongozi, mtu unakuwa umekamilika kila idara, ndiyo maana leo hii ukisikiliza hotuba za Nyerere, unabaki kushangaa, kama mtu huyu na mawazo kama haya alishindwa vipi kuyatekeleza kwa vitendo, wakati serikali yote ilikuwa chini yake na maamuzi yake mbona hayakuwa yanatekelezwa. Binadamu tunazaliwa na vinasaba vinavyofanana kifamilia kutoka mababu wa zamani na vinasaba hivyo huendelea kuridhiwa na watoto na wajukuu, ndiyo maana kwa bahati mbaya vinasaba hivyo havisikiki kwa watoto wake wala wajukuu.

Yahaya aliendelea na nafasi yake ya mchawi mkuu wa taifa baada ya uongozi wa nchi kuwa chini ya Ali Hasani Mwinyi, majukumu makubwa ya wachawi ni kudidimiza na kuharibu maisha ya watu, hivyo kwa kutumia lango la kuzimu la mustallah la upanga, siku zote mipango yao ilikuwa ni ya uharibifu, ndiyo maana mzee Mwinyi kila akijitahidi kubadilisha hali ya maisha ya wananchi, alikuwa akiishia kubomoa misingi ya uchumi wa taifa.

Yahaya baada ya kumudu kuwadhibiti watawala hawa, kuzimu walimpandisha cheo, na kuwa mkuu wa lango la kuzimu la mustallah. Nyumbani kwake Mkwajuni Kinondoni alichimba bwawa la kuogelea, lakini hiyo ni geresha, siyo bwawa la kuogelea, bali ni lango kuu la kuingilia kuzimu, ndiye mchawi pekee, kama anavyosifiwa wa Afrika Mashariki na Kati kuwa na lango binafsi la kuingilia kuzimu. Usiku alikuwa akiingia ndani ya bwawa lake na kutambaa chini kwa chini ya ardhi hadi anaibukia juu ya lango la kuzimu la mustallah, upanga. Wachawi karibu wote hupaa angani kwa ungo, lakini mkongwe wa ulozi alikuwa anapasua udongo na miamba chini ya ardhi na njia inatokea.

Awamu ya tatu ya Benjamin, aliendelea na cheo chake kile kile cha mchawi mkuu wa taifa, jukumu kubwa likiwa ni uharibu wa maisha ya wanadamu, kipindi hiki yalijitokeza mambo makubwa ya uharibifu huko kuzimu, na kafara kubwa kubwa zilitakiwa, kafara kubwa mara zote zinatakiwa damu za binadamu kunyamazisha kuzimu. Kumbuka ajali ya meli ziwa victoria, kumbuka ajali kubwa kubwa zilizomaliza maisha ya Watanzania barabarani, kumbuka ajali za treni za abiria kila wakati kipindi chote cha utawala wa Mkapa. Mpango mkubwa ulioshindikana ni wa kuangusha ndege ya abiria ya precisios iliyokuwa inatoka Mwanza kuelekea Dar, kuzimu walishapanga mwezi, tarehe, siku na saa ya kuiangusha ndege hiyo juu ya soko kuu la kariakoo. Ilikuwa ni bahati mbaya sijui, ilikuwa ni bahati nzuri sijui lakini waliingia abiria wawili ndani ya hiyo ndege, abiria hao kuingia kwao ni baada ya abiria wengine wawili kuahirisha safari yao ya kwenda Dar hivyo tiketi zao zikapatiwa ruhusa ya kusafiri na ndege hiyo, watu hao walijulikana kama walokole, ndege ilipofika katika anga na eneo la maafa, mitego ya kichawi iliteketezwa, kwenye ulimwengu usioonekana moto ulilamba wachawi waliokuwa wamejipanga na madumu ya kuchukulia damu, misingi ya kuzimu ilipasuka, tangu siku hiyo makafara yaliyohitaji damu yalipugua sana.

Awamu ya sasa ndiyo aliwathibitishia Watanzania kuwa yeye ndiye mchawi mkuu wa taifa, anayetoa ulinzi usioonekana. Kumbuka mwaka 2005 nyota ya kilozi ilivyokuwa iking'aa kwa kiongozi wetu, inashangaza nyota imefifia kwa kasi ya ajabu, haijulikani kesho itakuwaje. Uchumi wa taifa upo kitandani Muhimbili, wananchi wamekosa matumaini makubwa baada ya ahadi kubwa kubwa walizopewa.

Ni lini taifa litapata viongozi wanaomuogopa na kumtegemea Mwenyenzi Mungu na kuzivunja laana hizi za kichawi zinazolitafuna taifa tangu mwaka 1961 ?

Je nafasi ya mkuu wa wachawi wa taifa itafutika, au ipo wazi kwa muda?
 
MUNGU ni mwaminifu kwa wamchao, wanaomlilia usiku na mchana.
Maji moto nakumbuka kuna post hapa ulisema uchawi kwa TZ umesambaratishwa na utapukutika mimi naona sasa yanatimia.
 
Raha yake yote hayo kwa Yesu ni kama mchanga wa kukanyagwa tu. Nina Yesu sina hofu.
 
Majimoto nakubaliana nawe kabisa ya kwamba nchi zetu za Kiafrika tumebaki nyuma sana kwasababu ya kukumbatia uchawi. Utajiri wetu unatafunwa na wageni huku tukiangalia tu. Viongozi wamevamiwa na pepo la ubinafsi na uroho wanajilimbikizia mali kiasi kwamba watakufa na kuyaacha hayo mapesa kwenye akaunti huko nje ya nchi yakinufaisha wageni. MUNGU anatazama nchini kwetu aone kama yuko mtu aliyesimama mahali palipobomoka ili aweze kuiponya nchi yetu kutoka mikononi mwa shetani.

Psalm 14 (Amplified Bible)

2The Lord looked down from heaven upon the children of men to see if there were any who understood, dealt wisely, and sought after God, inquiring for and of Him and requiring Him [of vital necessity].

2 Chronicles 7 (Amplified Bible)

14If My people, who are called by My name, shall humble themselves, pray, seek, crave, and require of necessity My face and turn from their wicked ways, then will I hear from heaven, forgive their sin, and heal their land.
 
Mkuu ninadoubts na usahihi na uhalisi wa hizo takwimu labda nikuulize source ni wapi na zilitolewa lini?
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
 
Mjimoto una biti kweli kweli
hivi haya majini jyanajisikiaje ilipotangazwa kuwa mwisho wa dunia ni tr 21/05 na sasa hivi ni tr 21 /10
halafu wewe ndugu yangu ni dini gani?
ni vizuri ungeandika kitabu nakuhakikishia utauza sana kitabu chako
 
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.

Mbona umewasahau Wachawi wakuu hapo kwetu ni Wanasiasa na Viongozi wa Dini mbali mbali na Matajiri hao ndio Wachawi Wakuu hapo kwetu Tanzania Maji Moto upo?
 
Aisee Majimoto wewe ni CHIZI kabisaaa!
Unaahitaji kwenda kwa daktari kule mirembe.
Hizi stori unazozimwaga hapa ni copy & paste, wanatumia wale wachungaji, wahubiri feki wa kilokole!
Na nadhani umekwisha enda Nigeria kupata ile nguvu ya kutoa misekule kama wakina Gwamanywa...

Kama una njaa tafuta namna nyingine ya kuishi mjini sio kwa porojo za kipuuzi hivi..........
 
Back
Top Bottom